MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Habari za asubuhi wanajukwaa, hongereni na majukumu ya kujenga taifa ketu.
Turudi kwenye mada yetu, katika pitapita zangu nimekutana na binti mrembo, nilifahamiana nae baada ya kwenda kwenye ofisi zao na yeye ndie alienitatulia shida yangu, bssi hapo ndipo urafiki wetu ulipoanzia hadi kufikia kwenye mapenzi, kipindi chote hicho hatukuwahi kukutana kimwili hadi wiki mbili zilizopita ndio tulipanga kukutana, basi tukiwa faragha na mahaba ya hapa na pale, hamadi namsauka nguo, namkuta ana tattoo pajani, kwa kweli nilishtuka mnoo,
Ila nilijitahidi nisimuonyeshe kama kuna chochote cha tufauti, basi tunafanya yetu ila mi nikiwa na lundo la mawazo kichwani, nilichokuja kugundua hata yeye hakua anataka niwe naiangalia ile tattoo, maana nikitupa jicho huwa anaificha kinamna flani, kwa upande wangu mimi, mtu mwenye tattoo huwa namfikiria kinamna nyengine kabisa ( samahani kwa wote wenye tattoo, sina lengo baya) sasa nashindwa nimuulize anijibu ili moyo wangu uwe na amani?
Au nimuache tu kimya kimya, ( ila ataumia mno, maana penzi limekolea sana, hasa kipindi hiki)
Hebu nishaurini wadau, maana naamini humu kuna wabobezi wa mambo mbali mbali, napokea aina zote za ushauri na maoni yote.
Natanguliza shukrani.

tukutane 2020