Tatito la ombaomba

Mpucha

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
1,274
Reaction score
1,672
Waungwana, kuna jambo huwa linanitatiza sana, nimekuwa nikizunguka mikoani katika shughuli za ujenzi wa taifa, na karibu kila mkoa nimekua nikikutana na ombaomba ambao almost ni watu walewale toka mikoa ileile hapa nchini,
I-Hivi tatizo ni nini, kwa nini makabila toka mikoa hiyo yamejikita kuombaomba ?
2-Kinachokera zaidi, wanaongozwa na vijana wadogo kabisa ambao sidhani kama kweli wanapata haki yao ya elimu
3-Pamoja na kuwa na hali ngumu ya maisha, wanazaana bila mpango, [inasikitisha]
4-Mikoa wanayotoka zipo fursa za kutosha, mfano kilimo cha zabibu, dhahabu, maziwa, ngombe, pamba nk Mwenye uelewa wa hili suala anakaribishwa kwa mchango,
 
Mputa...kunguza hasira mkuu,bilashaka ulita kuandika Tatizo..![h=2]Tatito la ombaomba[/h]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…