Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha
5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena
6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo
7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha
8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli
9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili
10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR
11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema
12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.
13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.
Simba nguvu moja
Wewe unaamini uchawi upo?Kama kweli wanafanya hivyo na wameendelea kuachwa basi viongozi watakuwa na akili kidogo. Haiwezekani wanatumia mamilioni kusajili na mshahara juu halafu mtu anakuja kuroga wenzie. Na haya malalamiko ni ya muda mrefu. Tuseme hawaamini kama uchawi upo?
Mkuu unataka nini. Nirudie nilichoandika ama vipi?Wewe unaamini uchawi upo?
Formation?1. Camara
2. Kijili
3 Nouma
4. Che Maloune
5. Chamou
6. Okejepha
7. Mutale
8. Mavambo
9. Mukwala
10. Ahoua
11. Awesu
Bila Balua hicho ni kikosi batili1. Camara
2. Kijili
3 Nouma
4. Che Maloune
5. Chamou
6. Okejepha
7. Mutale
8. Mavambo
9. Mukwala
10. Ahoua
11. Awesu
Nataka nijue imani yako kuhusu uchawi na nguvu yakeMkuu unataka nini. Nirudie nilichoandika ama vipi?
Wewe mwenyewe umeandika 'kama kweli' halafu unawaita viongozi akili kidogo, viongozi wanaweza kujua vipi kuwa mchezaji Fulani anaroga? Hakuna mchezaji anaerogwa . Hao akina Kapombe watapigwa bench kama kawaida asipojirekebisha Kwa kupiga krosi anababatiza mtu na hakuna mtu atarogwa.Kama kweli wanafanya hivyo na wameendelea kuachwa basi viongozi watakuwa na akili kidogo. Haiwezekani wanatumia mamilioni kusajili na mshahara juu halafu mtu anakuja kuroga wenzie. Na haya malalamiko ni ya muda mrefu. Tuseme hawaamini kama uchawi upo?
😆😆🤣🤣🤣 Kwamba Ngoma awe striker my foot!Ngoma kucheza kiungo cha chin kumemshinda abadilishiwe majukumu acheze hata namba tisa striker
Ngoma yupi kwanza? Yule aliyetekwa airport auNgoma kucheza kiungo cha chin kumemshinda abadilishiwe majukumu acheze hata namba tisa striker
Umewezaje kuandika maneno yote hayo kwa kiswahili safi halafu hiyo statement imekushinda kuielewa?Wewe mwenyewe umeandika 'kama kweli' halafu unawaita viongozi akili kidogo,
Nimeshaandika kwenye maelezo yangu ya awali. Take time to understandNataka nijue imani yako kuhusu uchawi na nguvu yake
Ataingia kuamsha uhai wa timu. Budo hawezi kukimbia vile dk zote 90Bila Balua hicho ni kikosi batili
Asilimia kubwa ya uliowataja ni wachezaji wa nje, wanakuja kupiga hela, kula dada zetu na kuondoka!1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha
5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena
6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo
7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha
8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli
9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili
10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR
11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema
12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.
13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.
Simba nguvu moja
Mlikuwa mnamsingizia Boko, sasa Boko hayupo mnatafuta wa kumuangushia jumba bovu.Kama kweli wanafanya hivyo na wameendelea kuachwa basi viongozi watakuwa na akili kidogo. Haiwezekani wanatumia mamilioni kusajili na mshahara juu halafu mtu anakuja kuroga wenzie. Na haya malalamiko ni ya muda mrefu. Tuseme hawaamini kama uchawi upo?
Ngoma aanzie bench, ni slow halaf anakaa na mpira team ikiwa iko on the move, umeana vile debrah na augustine wana overlap kwa speed, that how inatakiwa. Simba haihitaji kiungo slow na predictableHapana, ngoma asipewe thank you, ngoma bado ana vitu vingi kiukweli, ngoma na debora wakicheza double pivot ni hatari, lakini changamoto simba haina namba 10 mnyumbulifu, mwenye jicho la pass ya mwisho, mwenye kuchezesha watu wote pale juu, yule jean charles inabidi abadilike aboreshe mapungufu yake.. La sivyo ni mchezaji wa kawaida, itabidi simba icheze 4-4-2, simba wacheze na double strikers, mkicheza na mfumo wa striker mmoja maana yake namba 10 ana kazi ya kushuka chini, kuunganisha timu, kuivuta juu, na kuwa hatari zaidi kwenye robo ya mpinzani, jean kakosa sifa hizi.