Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,696
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha
5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena
6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo
7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha
8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli
9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili
10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR
11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema
12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.
13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.
Simba nguvu moja
Ngoma na fred hawana pa kutokea, either waanzie kutokea bench au waondoke kabisa, baba ester kule pembeni akubali tu kazin kwakwe kuna kazi, mzamiru akiendelea na aina ile ya uchezaji ataanzia bench1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha
5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena
6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo
7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha
8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli
9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili
10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR
11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema
12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.
13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.
Simba nguvu moja
Kapombe alikuwa anazidiwa hata na Isra Mwenda...Ngoma sio kiungo wa kasi ya Simba hii, ni kiungo mzuri ila Kuna vitu anakosa, kapombe kama ulivosema hatakiwi hata kidogo.
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha
5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena
6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo
7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha
8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli
9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili
10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR
11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema
12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.
13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.
Simba nguvu moja
Tatizo ukimuweka benching Kapombe na Tshabalala, watawapiga pini wachezaji wote kama ilivyo kuwa kwa KramoNgoma sio kiungo wa kasi ya Simba hii, ni kiungo mzuri ila Kuna vitu anakosa, kapombe kama ulivosema hatakiwi hata kidogo.
Hapo ndo tatizo lilipo wanamazingaombwe sanaTatizo ukimuweka benching Kapombe na Tshabalala, watawapiga pini wachezaji wote kama ilivyo kuwa kwa Kramo
Kama kweli wanafanya hivyo na wameendelea kuachwa basi viongozi watakuwa na akili kidogo. Haiwezekani wanatumia mamilioni kusajili na mshahara juu halafu mtu anakuja kuroga wenzie. Na haya malalamiko ni ya muda mrefu. Tuseme hawaamini kama uchawi upo?Hapo ndo tatizo lilipo wanamazingaombwe sana
Mada yako ni nzuri sana tu. Maana inaongelea tathmini ya timu yako baada ya mechi. Udhaifu ni hapo mwishoni tu ulipo ihusisha Yanga na viongozi. Umeonesha dalili ya hofu iliyopitiliza.1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha
5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena
6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo
7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha
8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli
9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili
10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR
11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema
12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.
13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.
Simba nguvu moja
Simba ya msimu huu na ya msimu uliopita ipi mzuri?Awesu alikuwa anapoteza mipira,ngoma hamna kitu anarudisha mipira nyuma na kuua shambulizi Simba wanapokuwa na mpira, Kibu hata kutuliza mpira bado sana angeachwa tu,freddy atakuja kusugua benchi. Mutale ni mtu,Mukwala ni mtu pia,Deborah ni shida.
Naona wachezaji 8 hivi wa kigeni pamona na makipa ni wazuri