Tathmini ya Kiwango cha Confidence: Dr Tulia VS Lowassa

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
WanaJF,

Kwa sasa tayari uongozi wa Bunge umekamilika kwa maana tayari tunae Spika na naibu wake.

Lakini katika mchakato wa kumpata naibu spika changamoto zilijitokeza moja ikiwa ni malalamiko kutoka UKAWA kuwa mshindi wa nafasi hiyo HANA confidence, ikiwa hii ni moja tu kati ya mapungufu mengi ambayo UKAWA waliibua kuhusu Dr Tulia.

Sasa hemu leo tutathmini kati ya Dr Tulia na aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA, Edward Lowassa, yupi kati ya hawa HANA confidence.

TATHMINI YA KIWANGO CHA CONFIDENCE CHA LOWASSA:

1. Kukimbia Midahalo

Kati ya wagombea wa nafasi ya urais, Lowassa alikuwa kinara wa kukwepa midahalo kila mara inapo andaliwa. Pale anapotoa kisingizio kuwa yupo nje ya Dar, alipewa 'option' ya kutumia njia kama skype bado aliendelea kugoma kushiriki midahalo hiyo. Hii ni confidence?

2. Kutumia Dakika 2 kutoa hotuba

Kati ya wagombea urais, ni Lowassa pekee ndiye alikuwa kivutio na kichekesho kwa wakati mmoja. Maana alikuwa akipata mafuriko na gharika hasa kutoka kwa vijana wanywa viroba na ambao kimsingi hawakuwa na kadi za kupigia kura...lakini wakati huo huo vijana hao wamekuwa wakitoka kwenye mikutano hiyo na vicheko kwa maana matarajio yao yanakuwa hayajafikiwa...mtu walie mshabikia anatoa hotuba dakika 2!!! Hii ni confidence?

3. Kuhairisha mikutano mara kwa mara

Imekuwa ni tabia ya CHADEMA/ UKAWA iliyozoeleka kabisa ya kuhairisha mikutano yake kipindi chote cha kampeni. Unakuta Lowassa amewasili kwenye mkutano kwa mbwembwe kubwa, lakini baada ya nusu saa wanatangazia hadhira kuwa mkutano umeahirishwa kisa 'mic' mbovu...mara jukwaa sio imara; na upuuzi wa aina hiyo. Kumbe kiuhalisia mzee wa machooni (Lowassa) anakuwa ameshafanya yake (amejinyea) kwa uoga wa watu. Je hii ni confidence?

Pamoja na madhaifu yote hayo na mapungufu ya kiwango cha juu ya aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA/ UKAWA, bado mashabiki na wanachama wa UKAWA waliamini mtu wa aina hiyo ataweza kuleta mabadiliko ya nchi. Ikiwa mtu dhoofu na wa hovyo hivyo angeweza kuleta mabadiliko ya nchi...sidhani kama mtu strong, educated and ambitious kama Dr Tulia atashindwa kuleta uongozi bora ndani ya Bunge kwa nafasi ya unaibu spika.

#TumpeNafasiDr.Tulia
 
WanaJF,

Kwa sasa tayari uongozi wa Bunge umekamilika kwa maana tayari tunae Spika na naibu wake.

Lakini katika mchakato wa kumpata naibu spika changamoto zilijitokeza moja ikiwa ni malalamiko kutoka UKAWA kuwa mshindi wa nafasi hiyo HANA confidence, ikiwa hii ni moja tu kati ya mapungufu mengi ambayo UKAWA waliibua kuhusu Dr Tulia.

Sasa hemu leo tutathmini kati ya Dr Tulia na aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA, Edward Lowassa, yupi kati ya hawa HANA confidence.

TATHMINI YA KIWANGO CHA CONFIDENCE CHA LOWASSA:

1. Kukimbia Midahalo

Kati ya wagombea wa nafasi ya urais, Lowassa alikuwa kinara wa kukwepa midahalo kila mara inapo andaliwa. Pale anapotoa kisingizio kuwa yupo nje ya Dar, alipewa 'option' ya kutumia njia kama skype bado aliendelea kugoma kushiriki midahalo hiyo. Hii ni confidence?

2. Kutumia Dakika 2 kutoa hotuba

Kati ya wagombea urais, ni Lowassa pekee ndiye alikuwa kivutio na kichekesho kwa wakati mmoja. Maana alikuwa akipata mafuriko na gharika hasa kutoka kwa vijana wanywa viroba na ambao kimsingi hawakuwa na kadi za kupigia kura...lakini wakati huo huo vijana hao wamekuwa wakitoka kwenye mikutano hiyo na vicheko kwa maana matarajio yao yanakuwa hayajafikiwa...mtu walie mshabikia anatoa hotuba dakika 2!!! Hii ni confidence?

3. Kuhairisha mikutano mara kwa mara

Imekuwa ni tabia ya CHADEMA/ UKAWA iliyozoeleka kabisa ya kuhairisha mikutano yake kipindi chote cha kampeni. Unakuta Lowassa amewasili kwenye mkutano kwa mbwembwe kubwa, lakini baada ya nusu saa wanatangazia hadhira kuwa mkutano umeahirishwa kisa 'mic' mbovu...mara jukwaa sio imara; na upuuzi wa aina hiyo. Kumbe kiuhalisia mzee wa machooni (Lowassa) anakuwa ameshafanya yake (amejinyea) kwa uoga wa watu. Je hii ni confidence?

Pamoja na madhaifu yote hayo na mapungufu ya kiwango cha juu ya aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA/ UKAWA, bado mashabiki na wanachama wa UKAWA waliamini mtu wa aina hiyo ataweza kuleta mabadiliko ya nchi. Ikiwa mtu dhoofu hivyo ataweza kuleta mabadiliko ya nchi...sidhani kama mtu strong, educated and ambitious kama Dr Tulia atashindwa kuleta uongozi bora ndani ya Bunge kwa nafasi ya unaibu spika.
Mkuu huyo jamaa tumesha msahau.
Tunamsubiri mwaka 2020 akitembelea mkongojo na akippesuka kwa uzee muda huo, kwa vile bado anatoa bulungutu na Mbowe bado anachukua!!
 
Unataka ku-justify choice ya Naibu Spika wa Bunge kwamba ni Genuine? hii kazi ni ngumu mno.
 
huwezi mfananisha lowasa na uchafu kaka,lowasa ni kiwango tofauti kabisa,watch this space!!!
 
Mkuu kna shughuli nimekutafutia hapa kwangu njoo japo uingize sh! Maana wee kutwa Ni blah blah tu
 
CHADEMA kwenu kushangilia uozo, huyo dady yenu ni sawa ila vizuri na vyenye kungara mnavinanga?
 
Unataka ku-justify choice ya Naibu Spika wa Bunge kwamba ni Genuine? hii kazi ni ngumu mno.

Mkuu hawa watu naweza sema ni wapu- mbavu kwa kiwango cha lami kabisa. Wao Mhe Lowassa wanataka kumtaja hata katika mambo ambayo hayamhusu ili kuufanya mjadala wao uingize hasira. Hivi majukumu ya Rais yanaweza kulinganishwa na Naibu Spika? Sasa kwa nini wawalinganishe kama sio kutafuta matusi tuu washe.nzi hawa?
Hilo la Bunge kuletewa Naibu Spika na serikali na wabunge wa CCM kukubali kwa kumpa kura ndio jambo la kwanza kabisa ambalo limeonyesha kuwa hawana tofauti kabisa na wale waliopita na hawapo hapo kuibana serikali bali kuisubiri serikali itawaambia nini ili waseme NDIOOOO.
Sasa hivi ccm ilipaswa ikae na kujiuliza ni kwa nini hatukuchaguliwa zile sehemu za mijini na kule kwenye maendeleo ya maisha au Elimu? Wangeifanyia research hatua hiyo ingeibuka ccm imara lakini mmmh!
 
CHADEMA kwenu kushangilia uozo, huyo dady yenu ni sawa ila vizuri na vyenye kungara mnavinanga?
Njoo nkupe ajira we bint maana naona siasa inekutawala sana! Wenzako wana tengeneza bingo wee unabakiaaa kupiga domo.
 
Kama ni zaidi ya buku 7 kwa siku hiyo sawa!
Ntampa a zaidi ya buku7 maana huyu bint ccm imemuathiri akili yake syo bure...kutwa kumtaja El nahisi hata akiwa usingizini anamuitaga lowasa
 
huwezi mfananisha lowasa na uchafu kaka,lowasa ni kiwango tofauti kabisa,watch this space!!!

Sijaona kiwango cha lowassa unachokiongelea, yawezekana ushabiki ndio uliokujaa. Lakini naye mleta mada amekosea sana, anamlinganisha msanii cum mpiga dili na msomi aliyebobea! amemuonea sana Dr.
 
WanaJF,

Kwa sasa tayari uongozi wa
|
|
|
|
|
kwa nafasi ya unaibu spika.
Uliyoandika hata hayana uhusiano, naona unatumia nguvu nyingi kutafuta kichaka.
TIME IS MONEY, hebu twendeni kwenye thread nyingine!
 
Mkuu hawa watu naweza sema ni wapu- mbavu kwa kiwango cha lami kabisa. Wao Mhe Lowassa wanataka kumtaja hata katika mambo ambayo hayamhusu ili kuufanya mjadala wao uingize hasira. Hivi majukumu ya Rais yanaweza kulinganishwa na Naibu Spika? Sasa kwa nini wawalinganishe kama sio kutafuta matusi tuu washe.nzi hawa?
Hilo la Bunge kuletewa Naibu Spika na serikali na wabunge wa CCM kukubali kwa kumpa kura ndio jambo la kwanza kabisa ambalo limeonyesha kuwa hawana tofauti kabisa na wale waliopita na hawapo hapo kuibana serikali bali kuisubiri serikali itawaambia nini ili waseme NDIOOOO.
Sasa hivi ccm ilipaswa ikae na kujiuliza ni kwa nini hatukuchaguliwa zile sehemu za mijini na kule kwenye maendeleo ya maisha au Elimu? Wangeifanyia research hatua hiyo ingeibuka ccm imara lakini mmmh!

Tatizo lenu mna amini kuwa serikali ipo kwa ajili ya kukandamiza wananchi halafu Bunge lipo kwa ajili ya kutetea wananchi. Mtazamo huu sio mara zote ni sahihi hasa pale anapo patikana rais ambae ana upendo na wananchi na anajua shida zao. Serikali ya Dkt Magufuli haiwezi kupeleka bungeni vitu vya kukandamiza wananchi. Sasa kwanini neno HAPANA litumike?
 
Ndio maana wanawake mnalilia mbwebwe wakati hambebeki,sasa kama hoja zenu muda wote ni majungu majungu tu!
Hivi ukiambiwa mwanao mwizi,wewe utampima kwa kulinganisha na kiwango cha wizi cha Mtoto wa jirani yako mwingine????
Shwain,vichwa vitupu hakuna mnaloweza kufikiri!
Ubora wa huyo Dr Tulia unapimwa kwa uwezo wake na si kwa kukimbilia kulinganisha na watu wasiohusika,haya muweke tumlinganishe na magufuli!Upuuzi mtupu
 
Tatizo lenu mna amini kuwa serikali ipo kwa ajili ya kukandamiza wananchi halafu Bunge lipo kwa ajili ya kutetea wananchi. Mtazamo huu sio mara zote ni sahihi hasa pale anapo patikana rais ambae ana upendo na wananchi na anajua shida zao. Serikali ya Dkt Magufuli haiwezi kupeleka bungeni vitu vya kukandamiza wananchi. Sasa kwanini neno HAPANA litumike?
We binti ngj uolewe upumzike na blah blah za siasa
 
Back
Top Bottom