utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Endelea kupima upepo tu, Kimara wanawasubili kwa hamu tu ili muyajuwe machungu ya waliobomolewa nyumba zao.Tathmini na utafiti makini uliyofanywa kuhusu uchaguzi mdogo wa kuziba mapengo ya madiwani mbalimbali unaoendelea hivi sasa nchini ni kwamba, CCM itazoa kata nyingi kuliko vyama vingine huku ikifuatiwa kwa mbaaali na CHADEMA halafu CUF na ACT.
Utafiti huo umebaini kuwa sababu zinazoipa CCM kushinda kata nyingi ni kasi ya utendaji kazi wa Rais Magufuli ambayo inawakonga nyoyo watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na chama hicho. mambo makubwa yaliyofanywa na serikali ya CCM chini ya rais Magufuli ndani ya miaka hii miwili ni kutumbua majipu katika maeneo mbalimbali ya utumishi wa umma, kukomesha ufisadi na rushwa, kuziba mianya ya uvujaji rasilimali za nchi maeneo ya madini, kurudisha nidhamu ya utumishi wa umma na kusimamia ipasavyo falsafa ya hapa kazi tu.
Tathmini na utafiti makini uliyofanywa kuhusu uchaguzi mdogo wa kuziba mapengo ya madiwani mbalimbali unaoendelea hivi sasa nchini ni kwamba, CCM itazoa kata nyingi kuliko vyama vingine huku ikifuatiwa kwa mbaaali na CHADEMA halafu CUF na ACT.

Wanachi wenye njaa wanaweza kuaminishwa na TBC kwamba wameshiba pilau la kuku?Ccm nadhani inaweza kushinda kata nyingi kweli lakini si kwa sababu hizo ulizozitaja mkuu.
Labda sana sana kwasababu ya goli la mkono na pia kuifanya Tbc kuwa kama yao kusifia mambo ya serikali hii na kwakuwa ina coverage kubwa kufanya wananchi wengi hususani wa vijijini kuamini hayo wanayoaminishwa.
Vinginevyo ngoja tusubiri tuone
Kama kweli umefanya utafiti basi wewe ni kanjanja, haihitaji utafiti kujua CCM itashinda kata 37 na UKAWA 6!!Tathmini na utafiti makini uliyofanywa kuhusu uchaguzi mdogo wa kuziba mapengo ya madiwani mbalimbali unaoendelea hivi sasa nchini ni kwamba, CCM itazoa kata nyingi kuliko vyama vingine huku ikifuatiwa kwa mbaaali na CHADEMA halafu CUF na ACT.
Utafiti huo umebaini kuwa sababu zinazoipa CCM kushinda kata nyingi ni kasi ya utendaji kazi wa Rais Magufuli ambayo inawakonga nyoyo watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na chama hicho. mambo makubwa yaliyofanywa na serikali ya CCM chini ya rais Magufuli ndani ya miaka hii miwili ni kutumbua majipu katika maeneo mbalimbali ya utumishi wa umma, kukomesha ufisadi na rushwa, kuziba mianya ya uvujaji rasilimali za nchi maeneo ya madini, kurudisha nidhamu ya utumishi wa umma na kusimamia ipasavyo falsafa ya hapa kazi tu.
Tathmini na utafiti makini uliyofanywa kuhusu uchaguzi mdogo wa kuziba mapengo ya madiwani mbalimbali unaoendelea hivi sasa nchini ni kwamba, CCM itazoa kata nyingi kuliko vyama vingine huku ikifuatiwa kwa mbaaali na CHADEMA halafu CUF na ACT.
Utafiti huo umebaini kuwa sababu zinazoipa CCM kushinda kata nyingi ni kasi ya utendaji kazi wa Rais Magufuli ambayo inawakonga nyoyo watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na chama hicho. mambo makubwa yaliyofanywa na serikali ya CCM chini ya rais Magufuli ndani ya miaka hii miwili ni kutumbua majipu katika maeneo mbalimbali ya utumishi wa umma, kukomesha ufisadi na rushwa, kuziba mianya ya uvujaji rasilimali za nchi maeneo ya madini, kurudisha nidhamu ya utumishi wa umma na kusimamia ipasavyo falsafa ya hapa kazi tu.
Tena siyo mawazo ni ndogo!Huu sio utafiti bali ni mawazo tu ya mtoa mada
Yaani magufuli kwa miaka miwili ametuaminisha kuwa mafisadi ni seth,rugemalila,na viongozi wa club ya simba na hakuna kiongozi yeyote wa ccm aliyewahi kujihusisha na ufisadi toka tupate uhuru.Tathmini na utafiti makini uliyofanywa kuhusu uchaguzi mdogo wa kuziba mapengo ya madiwani mbalimbali unaoendelea hivi sasa nchini ni kwamba, CCM itazoa kata nyingi kuliko vyama vingine huku ikifuatiwa kwa mbaaali na CHADEMA halafu CUF na ACT.
Utafiti huo umebaini kuwa sababu zinazoipa CCM kushinda kata nyingi ni kasi ya utendaji kazi wa Rais Magufuli ambayo inawakonga nyoyo watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na chama hicho. mambo makubwa yaliyofanywa na serikali ya CCM chini ya rais Magufuli ndani ya miaka hii miwili ni kutumbua majipu katika maeneo mbalimbali ya utumishi wa umma, kukomesha ufisadi na rushwa, kuziba mianya ya uvujaji rasilimali za nchi maeneo ya madini, kurudisha nidhamu ya utumishi wa umma na kusimamia ipasavyo falsafa ya hapa kazi tu.
Kimara hata kabla ya kuvunjiwa sidhani kama waliwahi kuwa watu wa CCM kwa hiyo hakuna la ajabu wakiendelea na msimamo waoEndelea kupima upepo tu, Kimara wanawasubili kwa hamu tu ili muyajuwe machungu ya waliobomolewa nyumba zao.