Unapigwa mwingi kamanda. Tulia kwanza
Hivi kwa nini wasiende kupata ujuzi Nchi za kiarabu wakajifunze wao wametumia njia gani maana kule kuna ukame mno ila hakuna tatizo la maji mfano kama Dubai mpaka nje baadhi wanaweka Freji mpita njia ukisikia kiu unakunywa kuishi kwangu sijawahi kuona siku wana tatizo la umeme au maji.
Haya matatizo ni sehemu ya kupigia pesa mkuuHivi kwa nini wasiende kupata ujuzi Nchi za kiarabu wakajifunze wao wametumia njia gani maana kule kuna ukame mno ila hakuna tatizo la maji mfano kama Dubai mpaka nje baadhi wanaweka Freji mpita njia ukisikia kiu unakunywa kuishi kwangu sijawahi kuona siku wana tatizo la umeme au maji.
Anawaza uchaguzi 2025 pekeeUwezekano mkubwa ni kuwa hii ni sabotage.
Utawala umekuwa dhwalimu kupitiliza. Tutegemee mengi.
Anawaza uchaguzi pekeeAlafu huyu MAMA yenu, katuliaaaa haoniiin.
Yeye ni Anga, Anga nayeye, akitulia ni "Nendeni mkalifanyia kazi"
Japo Jiwe sikumkubali baadhi ya maeneo, "Ila Jamaa alikua Mwamba kwenye kufatilia ".
Upo sahihi kabisaWajinga wanaotetea na kuipigia kura CCM hawapaswi kulalamika maana wanachangia sana haya mambo kuendelea kutokea
Kinachoshangaza kwa nini wasitumie njia mbadala ina maana kila kipindi cha kiangazi hali itakuwa ni ileileHaya matatizo ni sehemu ya kupigia pesa mkuu
Matatizo yakiisha watapigaje pesa? umeambiwa kuna kiongozi yoyote anashida ya maji?Kinachoshangaza kwa nini wasitumie njia mbadala ina maana kila kipindi cha kiangazi hali itakuwa ni ileile
Kwenye mgao wa umeme Masaki haipo huko ndio ilitakiwa iwe 24 hakuna maji ili wajue ni kiasi gani tuna taabikaMatatizo yakiisha watapigaje pesa? umeambiwa kuna kiongozi yoyote anashida ya maji?
Tatizo huduma za jamii kufanywa hisani ya watawala badala kuwa ni hitaji la lazima kwa wananchiKwenye mgao wa umeme Masaki haipo huko ndio ilitakiwa iwe 24 hakuna maji ili wajue ni kiasi gani tuna taabika
Sasa wananchi wenyewe ndio hao serikali ikiwajibika kwa kujenga barabara au kuunganisha umeme,maji wanapiga kabisa magoti eti tunashukuru mh.....kwa kutuletea....utafikiri ni hisani ... wakati ni kodi zao . kaazi kwelikweliTatizo huduma za jamii kufanywa hisani ya watawala badala kuwa ni hitaji la lazima kwa wananchi
Ujinga ni mtaji mzuri wa CCMSasa wananchi wenyewe ndio hao serikali ikiwajibika kwa kujenga barabara au kuunganisha umeme,maji wanapiga kabisa magoti eti tunashukuru mh.....kwa kutuletea....utafikiri ni hisani ... wakati ni kodi zao . kaazi kwelikweli
Ndo maana unasikia, mama katoa pesa...........nchi ya bongolala wanapenda sana kusujudiwa.Tatizo huduma za jamii kufanywa hisani ya watawala badala kuwa ni hitaji la lazima kwa wananchi
Utadhani ni mshahara wakeNdo maana unasikia, mama katoa pesa...........nchi ya bongolala wanapenda sana kusujudiwa.
Utadhani ni mshahara wake