VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
- Thread starter
-
- #21
Wakati ule haukuwa muungano kama sasa, na wakati ule wapiga kura hawakuwa wengi kama mara hii, mara hii wamekuwa mara 2 ya 2010, kama unatazama hivyo Hata magufuli kapata kura nyingi zaid ya kikwete 2010
Usiropoke bila ya kuelewa. Angalia zaidi asilimia ya kukubalika. Si kila mwana-UKAWA amempigia kura Lowassa
Mzee Tupatupa
Slaa ni bora mara 200 kuliko Lowassa.Lowassa ni nguvu ya FEDHA na kumbuka kaanza kitambo 2008.Halafu Lowassa amekuwa "backed up" na UKAWA ambayo ni vyama vinne.Kwa vyama 4 plus Lowassa mwenye nguvu ya fedha 39% ni ndogo sana.SILAA WA 2010 WATU WALIMPENDA KUTOKA MOYONI KABISA NIKIWEMO MIMI SEMA CCM WALITUMIA UZOEZI WA MIAKA 50 NA NILIUMIA ALIVYOSHINDWA INGAWA ALINITOKA AKILINI ALIVYOANZA KUTUMIWA NA MBOWE-SAKATA LA ZZK.Lowassa kaua vyama 4 kwa mpigo.SUBIRI MTAFUTANO UANZE MAANA KUNA (TeamLowassa,4U Movement,CDM Asilia,NCCR Mageuzi,NLD na CUF).
Licha ya mimi kuwa mwanaccm lakini ninakili haya matokeo sikuyategemea..rsilimali ccm ilizotumia,wasanii,kuchonganisha ukawa hadi dr silaa na prof libpumba wakaondoka..kujumlisha na record ya magufuri..bado tumepata kula 58% na kupoteza ngome muhimu kama mbeya,iringa,tanga,arusha na huenda jiji la dar+mtwara....hii inaonyesha ccm kama ingemusimamisha asharose migiro au yule mama wa zanzibar basi ccm tungeshindwa vidaya.ingebidi tume ifute uchaguzi ili kutunyenyua.haya matokeo kwa ccm siyo ya kushangilia sana
Pamoja na kutoshinda kwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa, bado kuna haja ya kufahamu kuwa Lowassa amemzidi na kumfunika Dr. Slaa aliyegombea mwaka 2010 kupitia CHADEMA. Mwaka 2010, kura zilizopigwa zilikuwa 8,398,394 na Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 ambazo ni sawa na asilimia 26.34 ya kura zote. Mwaka huu, zilipigwa kura 15,193,863 na Lowassa kupata kura milioni 6 na ushee sawa na asilimia 39.97.
Mshindi wa mwaka 2010,Rais Kikwete alipata asilimia 61 na wa mwaka huu amepata asilimia 58.46. Ukitazama kwa jicho kali, utaona na kujua kuwa Lowassa amemzidi kwa mbali sana Dr. Slaa. Pia, CCM imeendelea kupungua kwa asilimia za kura zake. Ni wazi sasa kuwa, Lowassa ameongeza hta majimbo ya uchaguzi kwa CHADEMA na CUF pamoja na vyama hivyo kupoteza baadhi ya majimbo yao.
Lowassa amesaidia kupoka ngome mbalimbali za CCM na kuzikabidhi CHADEMA na CUF. Mwaka huu, kwa uwiano wa kura za wagombea wa Urais wa Tanzania, CHADEMA itapata nafasi za viti maalum kwa wingi zaidi na kutoachwa mbali na CCM kama ilivyokuwa mwaka 2010. Haya pia ni mafanikio yaliyoletwa na Lowassa huko CHADEMA na kumzidi kwa mbali Dr. Slaa wa mwaka 2010. CHADEMA ilicheza karata zake vyema.
Kila la kheri watanzania!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Hujaelezea hapo katikati ya 2010 na 2015 effort aliyoweka Dr Slaa kuimarisha na kupanua chama..
Ukweli ni huu, siku Lowassa amepitishwa na UKAWA kugombea, CCM ilifanya sherehe maana walijua hiyo move ingekuwa mwanzo wa mwisho wa agenda ya ufisadi (agenda pekee iliyoipandisha chadema chati)...In short, watu wenye akili (wanajiita Chadema Halisia) walishtukia sanaa za Mbowe na wakakaa pembeni...
Sasa tumeshuhudia Lowassa akisimama majukwaani pamoja na rejects- Kingunge, Lau Masha, Sumaye and the likes...
Imagine hayo majukwaa yangekuwa replaced na Dr Slaa na Lipumba!
#MboweMustGo
Kwanza kama ulifuatilia vizuri uchaguzi wa 2010, uchaguzi wa sasa hivi hata kama Lowasa asingesimamishwa na chadema ungekuwa na ushindani mkali tuu, hususan baada ya vyama vya upinzani kuunganisha nguvu. Hilo halipingiki kabisa kama unabisha wewe ni mbishi tuu.

katiba mpya? are you out off your mind? usitegemee hi kitu kabsaaaa, sisiemu ni ileile na wamejipanga, mwaka huu tutakiona.Nguvu kubwa ielekezwe kwenye kudai katiba mpya.