Tathmini kuhusu ajali za barabarani

mwaki pesile

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
340
487
Ajali Ajali Ajali

Hivi tatizo ni nini hasa?

1. Madereva hawana elimu inayotosheleza?

2. Madereva wanapuuzia sheria za usalama barabarani?

3. Urafikinization katika usimamizi wa sheria?

4. Mitaala ya elimu ya udereva ni butu?


Je, kipi kifanyike?


IMG-20200823-WA0131.jpg
 
Kwakuongezea hapo juu, zipo sababu nyingi sana ikiwaa ni pamoja na hizi.

Ubovu wa barabara zetu, mfano mzuri ni chalinze hadi Mlandizi

Wembamba wa barabara zetu
Uchovu wa madereva wetu
Ubovu wa magari
Ukaguzi mbovu wa vehicle Inspectors wa Police
Na mengine
 
Tatizo na mafunzo ya udereva yanavyotolewa kiholela!

Watu wanajifunza udereva kienyeji na leseni
 
Mwalimu akimfundisha gari mtu vizuri nakwambia hawezi kuendesha vibaya!

Mwalimu akiwa siriasi mfano akawa mkali pale mwanafunzi anapokanyaga clutch au break kwa nguvu au kwa kustukiza hapo mwanafunzi atajua kumbe haifai kuendesha hivyo!

Bongo kuna tatizo kubwa la uendeshaji magari!

Watu wanachojua ni kuendesha kwa kasi tu!

Hadi magari ya serikali ni mwendokasi tu!
 
Back
Top Bottom