Tathmini juu ya afya ya akili

souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
841
1,807
Habari wanaJf,heading straight to the topic baada ya kufanya tathimini na upelelezi nimekuja kugundua ya fatayo juu ya afya za akili kwa vijana.

Ukweli usemwe changamoto ni nyingine sana vijana wanapitia especially wakiume kwenye jamii zetu za Kiafrika.

Ajira ni ngumu, biashara zimeyumba, kuna waliotumbuliwa, walio disqualify kuendelea na masomo, mapenzi imekuwa vita ya timing,kuna walio lawitiwa na kubakwa wakiwa watoto, kuna walio filisika na mengine mengi.

Hizi changamoto kibinadamu lazima ziku disturb mental maisha yetu yamekuwa kama tatizo ni hali ya kawaida kwenye maisha na tumeanza kuyapokea bila kujua wahusika wanapitia mental break down and psychological problems.

Personal baada ya kupata changamoto kadhaa nikajikuta nimesimama mwenyewe kujitoa, which of bado na struggle kutoka naelewa nikitoka kwenye ili things will never be the same.

Nachoweza kushauri serikali na private sectors kwenye upande wa medical issue wajitaidi kufungua Psychology Consultation services na Stress Relief centers vijana tunaitaji huo msaada, tusipo kuwa makani mbeleni tutakuwa na kizazi cha watu manunda, Hopeless,Emotionless na ata Drug additives wakutosha. Hali ni mbaya wengi tunatembea kama time bomu.

KUTAMBUA TATIZO NI KUPUNGUZA MACHUNGU.
 
Umenena vyema kabisa. Jamii ina tatizo kubwa la vijana hasa kuhadhirika na mazingira yanasiyoleta matumaini. Ukosefu wa kazi, kusalitiwa na mengineyo yaliyotajwa. Watu wazima nao wana changamoto za kisaikolojoa lukuki. Wajitokeze wataalamu wasaidie jamii.
Wapo wanaojitokeza kutoa huduma lakini bei zao ziko juu wengi hawamudu. Wakiwa wengi bei zitapungua.
 
Hali sio nzuri kabisa ata wazee wety wengi wamevurugwa sana na maisha ni vile hawana kuyapeleka. Uzuri wa hizi Center ukishaanza kuzungumza matatizo yako ndio njia ya kuanza kupona

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom