Tathimini mloganzila

nyaunyau

Senior Member
Oct 28, 2009
132
26
Kaziya kutathimini viwanja,mashamba,na nyumba eneo la kibamba mloganzila imeanza jana.matangazo yaliyotolewa hayatoshi kuwafikia watu wenye maeneo hayo kama kuna anayehusika awahi jumatatu wanaendelea kwa siku kumi.
 
Back
Top Bottom