Kanchi maskini hakana kako s almost nature hakawezi kufanya uchaguzi kila kukicha na uslow we utachagua utawala by time semina elekezi zinaisha uvhaguzi mwingine
(b) Tuunde tume huru ya utumishi (Civil Service Comission) yenye kukaa madarakani miaka mitatu tu. Kazi yake iiwe ni kusimamia ajira za kitaalamu serikalini.
(d) Tutenganishe kabisa vitengo vye serikali: utendaji, bunge na mahakama.
(e) Tuwe na utaratibu wa wazi kabisa wa kuwavua madaraka wabunge na rais anayeonyesha kushindwa kutimiza majukumu yake hata kabla ya kipindi chake kuisha.