Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
Tanzania tunatakiwa tufanye mabadiliko makubwa kadhaa ili tujinasue:
(a) Tufupishe kipindi cha serikali kutoka miaka mitano hadi miaka mitatu (Kama Australia).
Kanchi maskini hakana kako s almost nature hakawezi kufanya uchaguzi kila kukicha na uslow we utachagua utawala by time semina elekezi zinaisha uvhaguzi mwingine
(b) Tuunde tume huru ya utumishi (Civil Service Comission) yenye kukaa madarakani miaka mitatu tu. Kazi yake iiwe ni kusimamia ajira za kitaalamu serikalini.
Hili la tume poa lakinililisha ongelewa na linakuja
(d) Tutenganishe kabisa vitengo vye serikali: utendaji, bunge na mahakama.(c) Tumpunguzie madaraka rais wetu; asiteue watu wengi sana
(e) Tuwe na utaratibu wa wazi kabisa wa kuwavua madaraka wabunge na rais anayeonyesha kushindwa kutimiza majukumu yake hata kabla ya kipindi chake kuisha.
....... na mengineyo mengi.
second