Taswira ya CCM inavyobomolewa na wenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taswira ya CCM inavyobomolewa na wenyewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jun 1, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Picha hisani ya Mjengwa blog

  Picha hii inatoa taswira inayoakisi hali halisi ya maisha ya Chama cha CCM siku hizi. Kuna herufi ambazo shoka au sululu zimeshabomolewa mwanzoni na mwishoni na kuna herufi ambazo zimebaki katikati muda wo wote zinasubiri shoka lizifikie.

  Kuna walio karibu wanaona kinachoendelea, wapita njia wanaona, nani wa kunusuru wakati wanaobomoa ndio wenye chama? Sikio la kufa halisikii dawa.

  Hayo ndiyo maisha ya mfumo wa siasa kama binadamu,
  huzaliwa, hukua, huzeeka na mwisho hufa na kuzikwa.
   
Loading...