TASWIRA; Magogoni jana!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TASWIRA; Magogoni jana!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kiganyi, May 5, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Kwanza wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda baada ya kutangaza Baraza la Mawaziri leo April 4, 2012
  (PICHA IKULU)

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  <tbody>[TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri leo April 4, 2012
  [/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
  [​IMG]
  Wapiga picha wakiwa kazini wakati Rais Jakaya Kikwete akitangaza Baraza la Mawaziri leo ikulu
  [​IMG]
  Wanahabari wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri leo April 4, 2012
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Hao ambaoo wako bize wanaandika ni kwamba copy hawatapewa ya majina au wananote mazungumzo sambamba na baraza.
  JK APO ATAKUWA ANASEMA DHA TUMEWAWEZA KWELI
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Pinda hana raha kabsaaaaa!!
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,051
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Haya bana JK katutwisha watanzania gunia la misumari tayari!
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,293
  Likes Received: 10,996
  Trophy Points: 280
  Pinda anaona aibu
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Dah,gunia la misumar halibebeki mdau
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,111
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Hiyo picha ya kwanza hapo juu imenisikitisha sana maana inaonekana furniture, bendera, na kila kilichoko hapo ndani ni imported. Si ajabu hata nguo zote walizovaa hao waeshimiwa ni imported. Inasikitisha sana.
   
 8. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,431
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mkuu yupo poa!kuonyesha kabisa kuwa wale aliowatema kaw2atema kwa ridhaaa yake sio kwa kushurutishwa!
   
 9. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maelezo yako kwenye picture ya kwanza hapo juu hayajakaa sawa; unaposema Makamu wa KWANZA wa Rais kwani kuna Makamu wa pili?
   
Loading...