Taswira kutoka unyaluni

Kwenu nini mkuu?

Sio homu mkuu ila nlikuwa na shemu wako kule alikuwa ananipenda sana, hii juz nimeiona hii pcha ikabidi nimtafute hewan,akasema kaolewa ila itabidi sku nmfungie safari nkamtafute walau nmkwarue ya kukumbushie coz kanipa kicheko cha maana kwenye simu ingawa ni muda mrefu kidogo,mkuu ule ni mji wa mashujaa sana, sema shda yao kuongoza kwenye ile kitu ilyokosa tiba hata loliondo, kuna kiwinta kule kinachochea sana makwaruano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…