Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Hilo ndio lengo la mamluki lipumba .Tushasahau mambo ya Jecha na ZEC sasa tunajadili Uenyikiti wa chama
MKUU HUYU LIPUMBA KATUMWA KUJA KUUA CUF,AMINI MAONO YANGU YATATIMIA INABIDI CUF WAWE MAKINI.Hilo ndio lengo la mamluki lipumba .
Zipo tetesi kwamba atatimuliwa kwenye kikao hicho hicho .MKUU HUYU LIPUMBA KATUMWA KUJA KUUA CUF,AMINI MAONO YANGU YATATIMIA INABIDI CUF WAWE MAKINI.
AfadhaliZipo tetesi kwamba atatimuliwa kwenye kikao hicho hicho .
Toka lini ccm ikaishauri Ukawa?Ukawa wameshindwa kabisa kuwasaidia cuf zanzibar wanachoona kuwa wameporwa.Ni ukawa ndio waliowashawishi cuf zanzibar wasuse,ili wasaidiane kuipiga pressure serikali ya muungano
Matokeo yake ukawa wanalilia tv live,wanagombana na naibu spika makusudi ili wafukuzwe bungeni
Sasa cuf wanahitaji mtu mwenye uchu wa madaraka kama Lipumba aje kutoa changamoto kwa magufuli kuhusu zanzibar
Ukawa wameshindwa,kuitetea cuf,na cuf imekufa bara,Twaha Taslima si aina ya kiongozi anaetakiwa na cuf kwa sasa,hana mvuto hana tofauti na Mashinji
Ukawa mnamuogopa lipumbaToka lini ccm ikaishauri Ukawa?
Ukawa mnamuogopa lipumba