Tasisi ya rais nini maoni yako?

Tasisi ya rais nini maoni yako?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Kwa maoni yako unaonaje heshima ya taasisi ya raisi TANZANIA HESHIMA IMEPANDA AU IMESHUKA. Ukilinganisha na vipindi vingine vilivyopita?. Na je? unaona nini kimepelekea halihiyo kutokea.
 
Wana JF leo naomba tujadili heshima ya taasisi hi nyeti kabisa.

Toa maoni yako juu ya uonavyo wewe heshima ya taasis hi ya Raisi je?, Imepanda au imeshuka?

Na je? Unaona nini kifanyike kutokana na hali hiyo.
 
Back
Top Bottom