Tasaf tasaf tasaf tasaf

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
331
Reaction score
230
Wadau hawa jamaa kama nina kumbukumbu vizuri december 2012 walitangaza kazi za mambo ya Monitoring and Evaluation,hivi walikwishaajiri ama vp,mwenye information wakuu
 
dah kiukwel hawa jamaa saiv naona wameanza uhuni... anyway labda wametingwa tuwe wavumilivu huenda wataita kwa interview soon
 
yaani kama kuna mtu ana info atuambie cz ni mda mrefu walitngaza kazi bado tyu hawajaita na kama wameajiri mwenye hizo info atuambie hapa jamvini
 
OFISI YA RAIS!!!!!!sina uhakika kama wako serious
 
Wadau hawa jamaa kama nina kumbukumbu vizuri december 2012 walitangaza kazi za mambo ya Monitoring and Evaluation,hivi walikwishaajiri ama vp,mwenye information wakuu

Kama ulilisoma vizuri lile tangazo lilisema watatoa shortlist na kuwasiliana waombaji waliofuzu. Kama hautaona jina lako au kuipigiwa na afisa yeyote wa TASAF ndani ya wiki 2 ujue ombi lako limekataliwa.
 
magari yao yanaonekana kuwa stationed mikoani kitu ambacho kinaoshenya wameanza rasmi. mi niliomba ila nadhani nilipigwa chini lakini yote heri kwani nishapata kazi nyingine probably kubwa kuliko hoy na zinafanana sana na hii ya TASAF
 
Wadau hawa jamaa kama nina kumbukumbu vizuri december 2012 walitangaza kazi za mambo ya Monitoring and Evaluation,hivi walikwishaajiri ama vp,mwenye information wakuu
kwa zile za july mwaka 2012,leo ndo interview ss cjui n wote au ndo kwa magroup kuna mdau yko hpo ndo ameenda kwa interview..
 
Kwa nafasi za Director, specialist na MIS interview inaendelea kufanyika. Hata leo wameendelea kusailiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…