TARURA: Wazo la Street Car Parking

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,093
Habari Tanzania !

Napenda kutoa wazo kwa mamlaka ya TARURA nchini kuanzia makao makuu, mikioani mpaka wilayani. Wachukue wazo hili la ubunifu juu ya kupangilia vyombo vya usafiri binafsi na umma hapa Tanzania.

Napenda kuona ardhi inatumika vizuri kwa matumizi mengine sio kila mtu anajisikia kufanya parking mahali popote. Tukitengeneza Car Parking kila mtaa au kata itapendeza hapa nchini hususani sehemu zenye magari mengi.

Nimeambatanisha mfano wa picha kama TARURA wanaweza ona unafaa itapendeza wakiuchukua kwa maendeleo ya nchi yetu na kupendezesha miji na mikoa yetu.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…