Kero imejuludia leo leo tena Polisi wamewapiga watu wengi na kuwasweka ndani wakiwa na majeraha pasipo kupata matibabu baada ya kupokea Rushwa toka kwa Mzungu ni aibu kuendelea na Uonevu kwa miaka nenda rudi.Poleni mkuu, naona uzi ulifungua mwaka 2013 na hadi leo umeufufua kero bado ni zile zile.
Sasa mkuu mnajipanga vipi kutatua hizo kero za polisi wa mzungu?,Kero imejuludia leo leo tena Polisi wamewapiga watu wengi na kuwasweka ndani wakiwa na majeraha pasipo kupata matibabu baada ya kupokea Rushwa toka kwa Mzungu ni aibu kuendelea na Uonevu kwa miaka nenda rudi.
Juzi juzi wakati Rais magufuli akiwa Tarime alikemea juu ya Tabia ya wenye pesa kuwanyanyasa wananchi kuwapiga kisha kuwaweka ndani, cha ajabu hata mwezi haujaisha tayari wamerudia yale yale, nadhani wasaidizi wa Rais na IGP wanapita JF wakisoma watamfikishia habari na takukuru wataanza kusogea huko Tarime wapate kushuhudia Mzungu alivyoinunua wilaya na kutawala kwa Amri zake.Sasa mkuu mnajipanga vipi kutatua hizo kero za polisi wa mzungu?,
inabidi mchukue hatua kupinga unyanyasaji huo, tena awamu hii wakuu wa wilaya na mikoa wanavyopenda kuonekana wakipiga kazi hilo jambo wafikishieni watalivalia njuga kweli kweli au nao wameshawekwa kwenye mfuko wa mzungu?
Vijana wa mara baada ya kumsikia Rais akipiga marufuku Uonevu na unyanyasaji wa Polisi kwa Raia waliamua kuwa wapole, na sasa wameleta malalamiko yao kwa umma wa kitanzania endapo watapuuzwa na Polisi kuendelea kupiga watu watambue kuwa wanatengeneza chuki ambayo huenda ikaleta maafa baadae.Kama Wanaume wa MARA nao mmeanza kulalamikia Polisi kazi ipo. Lkn niliambiwa kwamba ni MWIKO mwanaume wa MARA kulalamika bali NI SIFA YA MWANAUME kulalamikiwa! Akili kichwani mwako...
Jipu hiyo avatar yako una utani na mkuu?Poleni mkuu, naona uzi ulifungua mwaka 2013 na hadi leo umeufufua kero bado ni zile zile.
Hawa wateule WA Raisi wengi wao njaa na Tamaa hawamusaidii raisi wanaangalia maslahi yaoKero imejuludia leo leo tena Polisi wamewapiga watu wengi na kuwasweka ndani wakiwa na majeraha pasipo kupata matibabu baada ya kupokea Rushwa toka kwa Mzungu ni aibu kuendelea na Uonevu kwa miaka nenda rudi.
Sidhani Kama anakusikia endelea kupaza sautiIGP unda tume ya uchunguzi iende Tarime kwani Polisi wako wamekuwa wakatiri vya kutisha inahatarisha Aman
Itakuwa wapo mfukoni wamtafte waziri mkuu au waende dsm kwa mkulu wakambike watamuona tuSasa mkuu mnajipanga vipi kutatua hizo kero za polisi wa mzungu?,
inabidi mchukue hatua kupinga unyanyasaji huo, tena awamu hii wakuu wa wilaya na mikoa wanavyopenda kuonekana wakipiga kazi hilo jambo wafikishieni watalivalia njuga kweli kweli au nao wameshawekwa kwenye mfuko wa mzungu?
Hapana sina utani nae ila hii ni njia niliyoichagua kuunga mkono juhudi za mkuu sina ubunge wala udiwani wa kujiuzulu.Jipu hiyo avatar yako una utani na mkuu?
Wengine huko wanaenda kinyume na Rais tutakuja kushangaa RPC wa Tarime anapandishwa cheo, Nchi hii imejaa viojaHapana sina utani nae ila hii ni njia niliyoichagua kuunga mkono juhudi za mkuu sina ubunge wala udiwani wa kujiuzulu.