Tarime yote ni Chadema tuu??

Kuishabikia ccm yataka moyo wa mnywa gongo anameza wakati amefumba macho
 
cocochanel
Ruttashobolwa
 
Lkn cha ajabu nafasi zote muhimu za Kiuongozi zimehifadhiwa kwa Wachaga tu, hakuna Mwana Tarime hata mmoja mwenye cheo cha maana chadema, Chacha Wangwe alijaribu wakamtundu Lisu!
 
Lkn cha ajabu nafasi zote muhimu za Kiuongozi zimehifadhiwa kwa Wachaga tu, hakuna Mwana Tarime hata mmoja mwenye cheo cha maana chadema, Chacha Wangwe alijaribu wakamtundu Lisu!
Hizo kelele zenu tumesha zizowea ni sawa na mapopo tu
 
Tarime mjini CHADEMA nguvu yao imepungua,ila kijijini CCM hawana lao,heche tosha
 
IKO TARIME , KYELA, MERU, RORYA, NYAMAGANA MWANZA, WE ACHA KABISA.
 
Embu ni quote ukiona wananchi kama 25m wamerudisha kadi sio hao kumi na CCM inawamachama kwenye namba za mamilioni na mamilioni.

Nukuu wenzako msahangilie hao mbao hawapewi pesa za dezo huku wamejaa uvivu.. wapo kama vile waliishi yale maisha ya wasanii waliokuwa wana.. ili waishi kama vile wametumia akili na maarifa kusaka noti wanazotanulia.
 
Umemeza viloba vingapi...
Unaongea kama umemwagiwa upakko[emoji216] [emoji241] [emoji108]
 
Moto wa Tarime umesambaa nchi nzima , wananchi hawawezi kushiba Bombadier mapanga .
 
Moto wa Tarime umesambaa nchi nzima , wananchi hawawezi kushiba Bombadier mapanga .
Mkuu ukianza kuona kina mama ambao kimsingi ndio walikuwa mtaji mkubwa wa Ccm wanaamua kuikimbia hiyo Ccm ujue safari ya kuwafuata kina UPC,KANU imewadia
 
Huna ulichokiandika na hii inaonyesha kuwa wewe ni mchepuko wa OOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…