Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Na hii inathibitisha kuwa cheo cha ukuu wa wilaya ni useless
sio ukuu wa wilaya hata unaibu wazir,ukuu wa mkoa,wazir asiyekuwa wizara maalum,ubunge vitu maalum vyote hivyo havina faida.ni mzigo tu kwa taifa
Hongereni sana wana Tarime!
Madiwani wa Tarime wamemkataa DC, Mh. Henjele; wakiwa kwenye mkutano wao Madiwani wote 49 wamepinga kuendelea kufanya kazi na DC huyo kulingana na mapungufu makubwa aliyo yaonyesha wakati wa utendaji kazi wake ikiwa ni pamoja na kushindwa kutatua migogoro iliyopo wilayani hapo.
Kulingana na mkanganyiko huo Madiwani hao wamemtaka mkuu wa Mkoa wa Mara Mh. Tupa akutane nao ili waweze kumkabidhi DC wake na kwamba wao hawawezi kufanya naye kazi.
My: Muda wa propaganda umepita; Viongozi someni alama za nyakati