Tarime teachers collage

Tarime teachers collage

mmolh

Member
Joined
Apr 27, 2019
Posts
16
Reaction score
1
Wanajamii ndugu yangu amechaguliwa chuo cha Tarime Teachers Collage Astashahada elimu ya awali sasa nilikuwa nauliza mwisho wa kuhakiki na vp kuhusu ada serikali kuna kaunafuu kanawapatia au ndo mzazi akomae,,,na vp mandhari
 
Ada ya vyuo vya ualimu vya serikali ni Tshs 600,000/- kwa mwaka. Ila kuna michango mingine ya Chuo isiyopungua laki moja. Kimsingi mandhari pako poa Chuo kipo mjini na hali ya hewa ya Tarime ni nzuri greenish sana. Karibu sana Tarime
 
Ahhhh vp kuhusu suala la kuhakiki
 
Back
Top Bottom