Tarime tarime

Mag

azeti, na yule mama aliyeuawa juzi anakwenda mtoni (though ni Musoma mjini) ni kuuza magazeti? Acha rafiki, tarime lazima kuchukua taadhali!
 
Watumishi wengi waliopo kwenye majeshi wala hawataki kupasikia huko Tarime.
 

Tuna misimamo yetu kwa mambo ya msingi lakin ssi siyo watu tunaochukua maamzi ghafla ya kufanya unyama bila kuwepo sababu iliyopelekea na kingine ukijue atupendi dhalau
 
 

haupo sahihi,tarime ni tofauti kama unavyodhani,binafsi nilikuwa napaogopa sana lakini mwaka juzi nimekaa tarime almost a year kuna tofauti kubwa sana na unayoyasema,just go and see
 
chonde chonde!!!achana kabisa na totoz za tarime,huchelewi kugechwa ukizifukuzia!!!
 
Goldland kwa kweli pamechoka na hakuna renovation inayofanyika. Vyumba vimechoka ila hawajambo kwenye breakfast. Mtafute Chacha Nyamete akupeleke kwenye maeneo ya makulaji. usitembee usiku kuanzia saa mbili wananchi na vijana wachache ni wakorofi. Nakuhakikishia kuwa hakuna watu waungwana kama wana Tarime. Tatizo tu umchokoze, umdhulumu, akupe rushwa ili umtimizie jambo fulani na ushindwe kumtimizia hasa kwa mapolisi, mahakimu, viongozi hapo patachimbika.
 

Samahani mkuu... Si uwe unasoma hata tarehe ya post???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…