Tarime na Rorya kuongozwa kijeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarime na Rorya kuongozwa kijeshi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edson, Jul 2, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,143
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  Habari za leo ndugu zanguni,

  Leo asubuhi nimesoma gazeti la mwananchi na kukuta kichwa cha habari
  ''Wilaya za Tarime na Rorya hatarini kupelekewa utawala wa kijeshi''
  ndugu wana jf hii inaashiria nini? huu mkoa unaongozwa na nani? maana inaonekana mkuu wa mkoa hana mkakati wowote wa kumaliza ugomvi baina ya wilya hizi mbili, na je kama serikali ikiunda mkoa maalumu huko utakaongozwa na jenelari wa jeshi(kwa mujibu wa PM) hii inamaanisha nini kwa serikali ya jk?
  mapigano haya hayajaanza leo ni ya mda mrefu, kingine napenda kujua kama mkuu wa kaya(jk) amewahi kufanya ziara wilaya hizi mbili na alisema nini kuhusu mapigano haya. mwenye data naomba amwage hapa
  ni hayo tu
  kazi njema kwenu nyote
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,070
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  nimeisoma hiyo mkuu..ni maneno ya Pinda kuwa serikali itaanzisha mkoa maalum wa kijeshi ili kukomesha mapigano.Nachelewaga sana kumuelewa Waziri Mkuu Pionda na kauli zake.Maana anachozungumza ni impossible,hata uweke utawala wa kijeshi hiyo sio suluhu ya mapigano huko tarime..
   
 3. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 263
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  of coz hii ni hatari,lakini kama diplomacy imeshindwa ni bora jeshi liende kuwa chini ya jeshi ni kutawaliwa kwa kufuata amri tena kwa nidham ya hali ya juu.Jeshini ukiukwaji mdogo tu wataratibu unafuatiwa na adhabu kubwa ya papo kwa papo sasa kama ubinadam umewashinda ni bora tuapply unyama kama watakavyo as mpaka waziri mkuu anaenda kule zilikuwa zimeshaokotwa maiti zaidi ya 30,sasa wakiendelea kuwachekea wasubiri makubwa zaidi
   
 4. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,842
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kwa mtu asiyeelewa ataona maneno ya pinda ni ya kukurupuka.lakini ukweli mapigano ya tarime utatuzi wake ni mgumu. ukorofi wote uko kwa wakurya.Watu hawa ni wezi wa waliokubuu wa ng'ombe.Maeneo ya wajaluo na maeneo ya majita kwa kawaida ni ya amani.lakini mara wakurya wanapohamia maeneo hayo ujue vita vitazuka.Lakini jambo la kushangaza kuna wanazuoni wengi wakurya na baadhi ya viongozi waliofikia ngazi za juu serikalini lakini hakuna hata siku moja wakaka na kujadili hali hii na kutolea tamko.Aidha hawajaenda tarime kuhubiri amani.kinachotakiwa kwa sasa ni ngumi ya chuma kutawala wilaya hiyo kwa sababu siasa imeshindikana tarime
   
 5. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 2,640
  Likes Received: 1,355
  Trophy Points: 280
  Poor governance practices, that's all. Never on earth has militarism resolved similar governance problems to reinforce and promote democracy. Shame upon Pinda's face. Shame upon CCM top leadership. Shame, shame, shame... shame!!
   
 6. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2013
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,439
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 280
  uwiiiiii jamani ndugu zangu wakurya what is going on
   
 7. n

  nyangi m.a JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2013
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 710
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Msishangae kwani tanzania yote wanaume wapo Tarime,,,hao wa sehemu nyingine sio wanaume,,hivyo rorya ilikuwa tarime ikajitenga tatizo linalosumbua ni mipaka baina ya wanaume wa kikurya na wanaume wa kijaruo,,,,
   
 8. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2013
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,117
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Kama ntwala "republic" lazima musalimu amri under occupation. We shall not rest until transformed ntwala under occupation is transformed!
   
 9. Enzymes

  Enzymes JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2013
  Joined: Feb 14, 2013
  Messages: 3,853
  Likes Received: 1,732
  Trophy Points: 280
  Aaache kwenda Japan eti aibuke Tarime au Rorya?? Huenda wagundue kama ile ya babu wa Loliondo ndo wamuone huko!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...