excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,960
Maisha yenyewe magumu!
Ajira hamna,
madini yanazalishwa hapa hapa lakini wanafaidika wengine!
serikali iko kimyaaa kama haioni...
Hapa ni vijana wakiwa kwenye harakati za kuiba mawe yenye thamani hapa mgodini north mara..
Jino kwa Jino... Watu wameshakufa mpaka wameona kifo ni kama dinner tu! tushakata tamaa ya maisha sie!
Mali zetu wanazilinda kwa mbinu zote wanazoweza ili watuibie vizuri..
No better schools, health, infrastructures etc..
kila day dhahabu inasafirishwa tu wakati pipo zinaishi kwenye hali ngumu!