TARIME: Askari aliyesababisha mauaji ya Suguta Chacha afikishwa Mahakamani

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
TARIME: Askari Polisi mwenye namba E. 1156 William Marwa amefikishwa mahakamani leo akikabiliwa na shtaka la mauaji ya Suguta Chacha ambaye ni mdogo wa Mbunge John Heche.

Mshtakiwa huyo amesomewa kesi ya mauaji namba PI 76/2018 mbele ya Hakimu A.R Kahimba leo Aprili 30.

Askari huyo anayedaiwa kutenda kosa hilo mnamo Aprili 27, 2018 hakutakiwa kujibu kitu chochote kwani mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo.

Chanzo: Mwananchi
 
TARIME: Askari Polisi mwenye namba E. 1156 William Marwa amefikishwa mahakamani leo akikabiliwa na shtaka la mauaji ya Suguta Chacha ambaye ni mdogo wa Mbunge John Heche.

Mshtakiwa huyo amesomewa kesi ya mauaji namba PI 76/2018 mbele ya Hakimu A.R Kahimba leo Aprili 30.
Nikikumbua..
1. Ya Akwilina
2. Ya Mwangosi
3. Ya Imrani Kombe

Naona kabisaa mtu yuko huru
 
TARIME: Askari Polisi mwenye namba E. 1156 William Marwa amefikishwa mahakamani leo akikabiliwa na shtaka la mauaji ya Suguta Chacha ambaye ni mdogo wa Mbunge John Heche.

Mshtakiwa huyo amesomewa kesi ya mauaji namba PI 76/2018 mbele ya Hakimu A.R Kahimba leo Aprili 30.
Atapewa hukmu kama ya lulu
 
Back
Top Bottom