DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tarimba Gulam Abbas, amesema wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua viongozi wanaowataka kwa ajili ya maendeleo yao.
Akihutubia wananchi wa Kata ya Hanasif katika kampeni zake leo Septemba 19, 2025, Tarimba amesema:
“Katika Jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania, sisi Watanzania tumekubaliana kwamba wananchi ndio watakaotoa viongozi. Viongozi ambao tutawatuma wakatifanyie kazi ambazo katika hali ya kawaida nyie na mimi hatuwezi tukazifanya kwa ubinafsi wetu...”