Hilo neno kaka.Maana mambo ya barua ni suala ambalo linachukua muda mrefu.binafsi nimeandika barua miaka minne nyuma kwa meneja ws tanesco temeke hado hii Leo hamna majibu naendelea kuumia.niko kigamboniWATEJA WENGI WANAOTUMIA UNIT CHINI YA 75 HAWANA UELEWA NA HIZO TARRIF. NI WAKATI SASA WA TANESCO AMA KUAMUA KWA DHATI KUUELIMISHA UMMA KUHUSU HIZO TARRIF AU KWAKUWA SASA NI ZAMA ZA TEKNOHAMA WATAFUTE TU SOFTWARE AMBAYO ITAFANYA KAZI "AUTOMATIC" BADALA YA MAMBO YA KUANZA KUANDIKA BARUA KWA MAMENEJA WA TANESCO. KWA HILI NAMUOMBA WAZIRI MUHONGO AINGILIE KATI KWANI KUNA WATEJA WENGI WANAOTUMIA CHINI YA UNITI 75 LAKINI WANAKAMULIWA NA NDIO HAO WANALALAMIKA KILA SIKU KUWA UMEME BEI GHALI KUMBE KUNA ZOEZI LA KUOMBA KUBADILISHWA TARRIF KWA MAMENEJA.
Hilo neno kaka.Maana mambo ya barua ni suala ambalo linachukua muda mrefu.binafsi nimeandika barua miaka minne nyuma kwa meneja ws tanesco temeke hado hii Leo hamna majibu naendelea kuumia.niko kigamboni
Wakuu scale ya malipo ya hili shirika letu la umeme lipo vipi? Naelewa Wateja Wa D1 ni wale wanaotumia chini ya unit 75 kwa mwezi na wanauziwa unit 100 je nini tofauti ya T1 na T2 customers? na bei za unit kwa T1 na T2 zipoje? na hawa wanaochukua 11KV au 132KV wao wapo kundi gani na wanauziwaje unit?
Wakuu scale ya malipo ya hili shirika letu la umeme lipo vipi? Naelewa Wateja Wa D1 ni wale wanaotumia chini ya unit 75 kwa mwezi na wanauziwa unit 100 je nini tofauti ya T1 na T2 customers? na bei za unit kwa T1 na T2 zipoje? na hawa wanaochukua 11KV au 132KV wao wapo kundi gani na wanauziwaje unit?
Uzi upo vizuri Sana! Mimi nauliza nikitaka kujua kwa wastani kwa mwezi ninatumia unit ngapi ninafanyeje? Ili niweze kujiridhisha na tariff niliyonayo kwa Sasa.Uzi mzuri sana huu. Umenifungua sana japo ni wa muda
Mkuu nadhan hapo mpaka wabobevu. Mie natumia remont tu kujua idadi ya unit nilizonazoUzi upo vizuri Sana! Mimi nauliza nikitaka kujua kwa wastani kwa mwezi ninatumia unit ngapi ninafanyeje? Ili niweze kujiridhisha na tariff niliyonayo kwa Sasa.
UnafanyajeMkuu nadhan hapo mpaka wabobevu. Mie natumia remont tu kujua idadi ya unit nilizonazo
006 naweka ok. Sasa hii inakupa idadi ya unit zilizo akia ila mm nachofanya nanunua umeme then nahifadhi tarehe husika mpaka mwisho wa mwez naangalia nimetumia au zmebaki ngapUnafanyaje