Wakuu scale ya malipo ya hili shirika letu la umeme lipo vipi? Naelewa Wateja Wa D1 ni wale wanaotumia chini ya unit 75 kwa mwezi na wanauziwa unit 100 je nini tofauti ya T1 na T2 customers? na bei za unit kwa T1 na T2 zipoje? na hawa wanaochukua 11KV au 132KV wao wapo kundi gani na wanauziwaje unit?
Asante sana kwa swali, Kuna tariff T1 ambayo ni kwa ajiri ya wateja wa kawaida (Normal use category) hawa ni wateja wanao tumia umeme kuanzia unit 0 - na kuendelea haina mwisho. Gharama ya umeme kwa wateja hawa ni Tsh. 298 kwa Unit na wanalipia service charge 5520+ 22% ( 22% ni VAT = 18, EWURA - 1% na REA-3%)
Tariff 4 ni kwa ajiri ya low usage customers, hawa matumizi yao kwa mwezi kuanzia unit 0-75. Gharama ya umeme ni Tsh 100 kwa unit bila service charge. Ukiwa upo tariff 4 ukatumia unit zaidi ya 75 zile unit zilizozidi utalipia Tsh 350 + 22% ya VAT.
Hapo kidogo nachanganyikiwa kuna site yangu moja nimefunga mita tangu mwezi wa 7 na umeme tunatuumia kwa mwezi unit 55-62 lakini mbona bado kila nlinunua umeme nakatwa service charge??? Wakati sifikishi hizo unit 75 na unit zenyewe naona bado nauziwa kwenye bei ya 300+ kwa unit nifanye nn ili niingizwe kwenye kundi hilo la watumiaji chin ya unit 75??? Na sijawahuhi vuka zaid ya unit 70 tangu mita ifungwe msaada hapo jaman??Asante sana kwa swali, Kuna tariff T1 ambayo ni kwa ajiri ya wateja wa kawaida (Normal use category) hawa ni wateja wanao tumia umeme kuanzia unit 0 - na kuendelea haina mwisho. Gharama ya umeme kwa wateja hawa ni Tsh. 298 kwa Unit na wanalipia service charge 5520+ 22% ( 22% ni VAT = 18, EWURA - 1% na REA-3%)
Tariff 4 ni kwa ajiri ya low usage customers, hawa matumizi yao kwa mwezi kuanzia unit 0-75. Gharama ya umeme ni Tsh 100 kwa unit bila service charge. Ukiwa upo tariff 4 ukatumia unit zaidi ya 75 zile unit zilizozidi utalipia Tsh 350 + 22% ya VAT.
Koleba Mkuu saidia na hilo swali kwani hata mm linanihusuAksante sana kwa muuliza swali na mtoa jibu, hii ndiyo tunayoihitaji kwa Forum hii, maana maswali yapo clere na jibu ni sahihi na kujitosheleza kwa ufupi, Na utusaidie ni taratibu zipi zitumiwe kwa mtu kuhama Tariff, maana ukienda kuunganisha umeme kwa mara ya kwanza hope unapewa T1, Sasa unajikuta matumizi ni ya kawaida so ufanyeje? Otherwise thanks mjibu maswali@ Koleba
Aksante sana kwa muuliza swali na mtoa jibu, hii ndiyo tunayoihitaji kwa Forum hii, maana maswali yapo clere na jibu ni sahihi na kujitosheleza kwa ufupi, natumai hata majibu kuhusu utofauti wa T1,T2 na wanaotumia 11KV & 132KV utadadavua vizuri kwa faida ya wengi na general gharama zake. Na utusaidie ni taratibu zipi zitumiwe kwa mtu kuhama Tariff, maana ukienda kuunganisha umeme kwa mara ya kwanza hope unapewa T1, Sasa unajikuta matumizi ni ya kawaida so ufanyeje? Otherwise thanks mjibu maswali@ Koleba
Hapo kidogo nachanganyikiwa kuna site yangu moja nimefunga mita tangu mwezi wa 7 na umeme tunatuumia kwa mwezi unit 55-62 lakini mbona bado kila nlinunua umeme nakatwa service charge??? Wakati sifikishi hizo unit 75 na unit zenyewe naona bado nauziwa kwenye bei ya 300+ kwa unit nifanye nn ili niingizwe kwenye kundi hilo la watumiaji chin ya unit 75??? Na sijawahuhi vuka zaid ya unit 70 tangu mita ifungwe msaada hapo jaman??

Koleba Mkuu saidia na hilo swali kwani hata mm linanihusu
nimefungiwa meter za LUKU (Wasion ya China) ikinisomea kwa T1 Novemba 2015
mwezi Disemba nikasoma ni Unit45
nikajaza Unit 62 nimeambia nika miezi mitatu ndio niende kulalamika
- Mm nilikuwa T4 ni kwanini nikalalamike tena wakatu situmii frji nk
- hicho kiremote kinasoma Error 77 na hakioneshi zimebaki au maandishi yoyote je kitakata au nikaripoti?
Asante sana kwa swali, Kuna tariff T1 ambayo ni kwa ajiri ya wateja wa kawaida (Normal use category) hawa ni wateja wanao tumia umeme kuanzia unit 0 - na kuendelea haina mwisho. Gharama ya umeme kwa wateja hawa ni Tsh. 298 kwa Unit na wanalipia service charge 5520+ 22% ( 22% ni VAT = 18, EWURA - 1% na REA-3%)
Tariff 4 ni kwa ajiri ya low usage customers, hawa matumizi yao kwa mwezi kuanzia unit 0-75. Gharama ya umeme ni Tsh 100 kwa unit bila service charge. Ukiwa upo tariff 4 ukatumia unit zaidi ya 75 zile unit zilizozidi utalipia Tsh 350 + 22% ya VAT.
Mkuu Koleba nakushukuru kwa ufafanuzi na hasa huu wa Error 77 umekubali kuzima na kuwaka vizuriTariff 4 ni kwa ajiri ya low usage customers, hawa matumizi yao kwa mwezi kuanzia unit 0-75. Gharama ya umeme ni Tsh 100 kwa unit bila service charge. Ukiwa upo tariff 4 ukatumia unit zaidi ya 75 zile unit zilizozidi utalipia Tsh 350 + 22% ya VAT.
mimi nalia na tanesco magomeni, yaani hapo prof.muhongo timua timua au wahamishe wapeleke kijijini kigoma huko baadhi ya wafanyakazi wa hapo, watu tumepeleka tatizo but hadi leo wanaleta uzushi uzushi, ikiwezekana wapige chini.