Tarehe ya usaili mikoani imeshatangazwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarehe ya usaili mikoani imeshatangazwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pettymarcel, Oct 16, 2012.

 1. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  habari wakuu tarehe ya usaili kwa wale watu wa mikoa ya dsm,kilimanjaro, manyara, tanga extra imeshatangazwa ingia website ya utumishi then naomba mnitajie mkoa wa kilimanjaro tunafanya lini na mahali gani kwani kisimu changu kimegoma kufungua thanx
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ok Ngoja tukutafutie hizo information
   
 3. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuanzia Tarehe 25/10/2012 hadi 02/11/2012. Shida ni kwamba hawajaonyesha mahali pakufanyia usaili.
   
 4. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  WE CHIETH umeangalia vibaya. Kilimanjaro na Arusha ni Tarehe 25 na 26 ofisi za wakuu wa mikoa
   
 5. I

  Israel masawe Senior Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  usajili wa nini?
   
Loading...