Tarehe ya kuripoti udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarehe ya kuripoti udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by EDDY KAMALA, Sep 7, 2012.

 1. E

  EDDY KAMALA New Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niaje ma people? hivi tarehe ya kuripoti udom ni lini kwa wale walochaguliwa first year?
   
 2. 1

  12vigor Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  vipi wana jf? Hivi ukifika udom siku ya kwanza unaruhusiwa kulala hostel au mpaka uwe registered?
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  angalieni juu ya jukwaa hili kuna thread imeandikwa USHAURI WA BURE KWA WALIO CHAGULIWA UDOM kaulizeni huko mtapata,majibu ya haraka kuliko kuanzisha thread mpya
   
Loading...