Tarehe 29 ilikukuta wapi na ulikuwa wapi?

Tarehe 29 ilikukuta wapi na ulikuwa wapi?

Msingi wa kuandamana ulikua Nini..
Wote mliondamana skuile.wengi mna mattzo ya kisaikolojia na wengine wengi wafuata mikumbo,
Siku mattzo hasa ya vijana wa nchi yatakapowekwa kwenye agenda ndio sku utajua kumbe watu sio waoga,
Mtu mwenye tafakuri hawez kutoka tu kuandamani kisa agenda za heche,maria sarungi na mange kimambi,
Vijana wa kitanzania Wana mttzo Yao mengi siku yakiwa mbele kama agenda ya maandamano utawaona wengi barabarni
Wanataka kuiangusha dola eti
 
Wanataka kuiangusha dola eti
Mtaji wa wanasiasa skuzote ni vijana wapumbavu,
Haya maandamo yote 29 na hayo ya D9 yamebeba agenda za kipumbavu tu za wanasiasa waliojificha nyuma na kuwaweka vijana wapumbavu mbele,
Na kamwe wao hawawez kutoka kukaa mbele sababu wanataka malengo Yao yatimizwe na hao vijana wao.wapate wanachokitaka,
Hata Hawa wanaopiga kelele humu hakuna hata Mmoja anaetoka kuandamana ni mpango kazi tu wa hao wanasiasa kuhamasisha ujinga Kwa wengine,
 
Back
Top Bottom