Tarehe 29 ilikukuta wapi na ulikuwa wapi?

Kinacho furahisha ni kwamba Ile challenge ya kuonesha kidole baada ya kupiga kura ilikufa rasmi

Lingine Cha kufurahisha baadhi ya halmashauri kuliko tokea sekeseke huwezi kukutana na upuuzi wa mabango ya green
Kuna mwamba alikuana vidole viwili vyenye wino.. Nilistaajabu


NB:Havikua vya kwake/sehemu ya mwili wake
 
Yaani nyie wote mliotoa ushuhuda hapa hakuna hata mmoja alie ianza hiyo siku na kupiga kura?
Ni maajabu
Kwa Dar kweli watu waliopiga kura ni wachache sana. Nilipita kwenye vituo vinne nikielekea Goba sikuona watu zaidi ya wasimamizi, ilikuwa ni saa3 hivi. Hata kama kusingekuwa na maandamano, bado serikali na wahuni wangejisikia vibaya sana maana hakukuwa na wapiga kura.

Binafsi nilirudi home kwa kutembea toka Goba hadi Mbezi tena usiku...nilikuwa na bahati sana maana nilipofika home tu nilisikia vyuma vikipigwa nonstop.
 
Kwa mkasa ulionikuta nikisimulia tena nitapata depression upya. Bado siamini kama ni kweli aisee
Yaan km mie tyuuh, kila nikikumbuka napatwa na kiwehu wehu.
Sijui nimeponajee yaani, 😢😢
 
Kumbe polis walikuwa wamejipanga kabisa kuua,yaan ndo pamenuka tu wakaanza na kurusha risasi za moto!
 
Mpaka sasa nikiwaona polis siamin kama kwel waliweza kufanya huo unyama

Yaan mim simlaumu samia ila nabaki kuwashangaa tu hawa polis wana roho gani

Hv karibun nipo road nikawaona yaan ile kuwaona tu nikajaa hasira ila bahati nzur hawakunisimamisha ila kama wangenisimamisha sjui tungejibizana vipi maana mwili ulikuwa umewaka tayar
 
Tukisema huyo maza ni shetani mnywa damu sikosei, huyu maza anatakiwa tumtoe madarakan na kumnyonga hadharani
 
Ok
 
Watu walimiminiwa risasi bila huruma nchi ina laana hii
 
Nilinusurika na familia
Yaani 99% kifo
1% uhai
Hadi leo siko Sawa kichwani
Naitaji attention sana
Pole sana ndugu yangu!! Sasa mnaelewa kwanini jangili kama kizimkazi hastahili kuwa hai
 
NA siyo kila polisi alipiga risasi
Wengi ni wageni waalikwa.

Sikatai hao watu ni wanyama ila si kwa kiwango kile tulichokiona.
 
Uvccm bhana.
Sura mpya miguu ya zamani.
 
Nlitengsnishws na fsmilia yangu, nafanya kazi musoma fsmilia ipo mwanza, every ijumaa huwa naenda so siku ya kura sikuwa hata na mpango wa kupiga kura asisee, nikasema acha nisiende maana ningeenda then kesho yake nigeuze halaf ijumaa niende tena, nikapangs nitaends ijumaa. Ndo hali ikaharibika alhamis barabara zikafungwa, nlikuwa na wasiwasi na familia yangu simu nlikuwa napiga hadi kero. Mm nliunga mkono maandamano ila sikuthubutu kutoa mguu wangu kwenda front. Tushazeeka wengine 46 now maandamano tunawaachia genz. Kasheshe sijazoea kushinds nyumbani, nlikuwa nalala kitandani nachoka, nalala kwenye makochi nachoka, kwenye mkeka nachoka, basi kero tu unafungiwa ndani kama utumbo
 
Msingi wa kuandamana ulikua Nini..
Wote mliondamana skuile.wengi mna mattzo ya kisaikolojia na wengine wengi wafuata mikumbo,
Siku mattzo hasa ya vijana wa nchi yatakapowekwa kwenye agenda ndio sku utajua kumbe watu sio waoga,
Mtu mwenye tafakuri hawez kutoka tu kuandamani kisa agenda za heche,maria sarungi na mange kimambi,
Vijana wa kitanzania Wana mttzo Yao mengi siku yakiwa mbele kama agenda ya maandamano utawaona wengi barabarni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…