Ni kweli PAYE imepungua na imelenga watu wa vipato vya chini kupata kipato .mfano mshahara chini ya 270,000 mwanzo ulikuwa na kodi lakini sasa kwa kinachozidi 270000 ndio unatozwa kodi.
kwa kifupi kodi mwanzo ilikuwa ikianzia Tshs 170,000.
Wakina zitto huwakuti wakiliongelea hili.