Tarehe 1 Juni, 2019 Hakuna Kutumia Mifuko ya Plastiki

Tarehe 1 Juni, 2019 Hakuna Kutumia Mifuko ya Plastiki

Wakuu naombeni kujuzwa, hii hapa chini ni moja ya aina ya mifuko ilopigwa marufuku kuanzia hiyoo tarehe 1

Je nataka kujua na vile vifungashio vinavyokuja na bidhaa kutoka nje vp... mfano ni kama hiko kikoi hapo chini,

Je hivyo vifungashio pia vinakatazwa?

Na je kama vinakatazwa itakuwaje na wakati vinakuja na bidhaa kutoka nje..?
20190516_080129.jpeg
 
Hiki ndo kokoi chenyewe kinachokuja na kifungashio chake ambacho ni cha nailon
20190516_080059.jpeg
 
Naomba huo mkakati uwe serious kweli manake sipendi hiyo mifuko
 
Write your reply...walichelewa Sana kuchukua hatua nawapongeza sana kuzuia hii Mifuko asilimia 80 ya uchafu hapa mjini ni hata ma Mifuko
 
Wamezuia mifuko tu, vifungashio vya plastic vitaendelea kutumika kama kawaida
 
ipo wapi hiyo mifuko.wajinga nyie! ilitakiwa ianze kutumika miezi 6 nyuma ndo mngeleta huo upuuzi wenu! kwa hili makamba anataftiwa zengwe asipojiangalia
Makamba alishasema uwaziri ni kama koti la kuazima. Yuko tayari kulirudisha kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom