Nimewaomba, mkataba wanazungusha zungusha hawaeleweki, mara wanasema tuje tuongee kirafiki mi nimewaambia mdhamini wake alikuwa mkurugenzi hivyo waanzie kwa mkurugenziSio mikopo yote , mzee wangu alipofariki alikuwa na deni Acces bank. Familia tulilipa. Kikubwa omba mkataba wa mkopo walioingia nao marehemu usome ndio utapata majibu familia mnapaswa kulipa au kutolipa.
Hamna maongezi hapo, inaonekana on their part hawakufuata taratibu , kazia hapo waende kwa mdhaminiNimewaomba, mkataba wanazungusha zungusha hawaeleweki, mara wanasema tuje tuongee kirafiki mi nimewaambia mdhamini wake alikuwa mkurugenzi hivyo waanzie kwa mkurugenzi
Wakitengeneza mkataba Mpya yaani wakiforge inakuaje?Sio mikopo yote , mzee wangu alipofariki alikuwa na deni Acces bank. Familia tulilipa. Kikubwa omba mkataba wa mkopo walioingia nao marehemu usome ndio utapata majibu familia mnapaswa kulipa au kutolipa.
Nimewaambia ili niwapokee waje na barua ya mkurugenzi mtendaji wa wilaya inayoelezea kuhusu deni la marehemu vinginevyo siwalipi hela itaenda kwa watoto wa marehemu tu na sio vinginevyo MABOTO MICROFINANCE wanataka kuleta janja za ajabuHamna maongezi hapo, inaonekana on their part hawakufuata taratibu , kazia hapo waende kwa mdhamini
Mkataba wa mikopo lazima uwe na mdhamini ni ngumu kuforge na mdhamini lazima atambue mashart ya mkopo husika , sisi ilikuwa rahisi mdhamini alikuwa bi mkubwa kwahyo kila kitu alikuwa anaelewa . Kikubwa tuliwaomba hatutalipa kwa mtiririko kama aliokuwa analipa marehemu tutazilipa kwa pamoja baada ya kupata haki za marehemu za kiinua mgongo walielewa.Wakitengeneza mkataba Mpya yaani wakiforge inakuaje?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Inawezekana na nyie mlilipa kwa mihemko! Mlikuwa mmejiridhisha kwamba mkopo haukuwa na Bima?Sio mikopo yote , mzee wangu alipofariki alikuwa na deni Acces bank. Familia tulilipa. Kikubwa omba mkataba wa mkopo walioingia nao marehemu usome ndio utapata majibu familia mnapaswa kulipa au kutolipa.
Ndio tulijiridhisha na mdhamini alielezwa pia mdhamini alikuwa ni mama, taratibu zao ukifa deni litafidiwa na mali za marehemu, alizoziweka dhamana kama mdhamini au familia wakishindwa kulipa kwahyo ilibidi familia tupambane na haikubaki pesa nying sana yeye mwenyewe alishausogeza .Inawezekana na nyie mlilipa kwa mihemko! Mlikuwa mmejiridhisha kwamba mkopo haukuwa na Bima?
Poleni kwa kweli! Hiyi benki ni ya kuepuka, maana mara nyingi huwa tunalipa Bima ya mkopo na imeelezwa kabisa ni kwa ajili ya nini?Ndio tulijiridhisha na mdhamini alielezwa pia mdhamini alikuwa ni mama, taratibu zao ukifa deni litafidiwa na mali za marehemu, alizoziweka dhamana kama mdhamini au familia wakishindwa kulipa kwahyo ilibidi familia tupambane na haikubaki pesa nying sana yeye mwenyewe alishausogeza .
Asante, tuliopo hai tujifunze tusiwape tabu familia zetu tunapoondoka. Tuangalie na taasisi za kukopaPoleni kwa kweli! Hiyi benki ni ya kuepuka, maana mara nyingi huwa tunalipa Bima ya mkopo na imeelezwa kabisa ni kwa ajili ya nini?