Inategemeana na Riba ya bank husika.
Kadri unavyokaa na pesa muda mrefu ndivyo utavyorudisha pesa kubwa zaidi. Ila faida yake ni kwamba marejesho ya kila mwezi huwa yanakuwa kidogo.
Kumbuka ukubwa wa pesa unayotakiwa kukopa unategemeana na thamani ya Dhamana yako kama ni mshahara, biashara au nyumba.