Taratibu Watanzania wanaanza kurudisha matumaini kwa CHADEMA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Baada ya uchaguzi kulikuwa na vigelegele vingi sana. Tulisikia watu wakisema Nyerere amerudi, wengine wakasema huyu ni zaidi ya Nyerere! Kila gazeti lazima litafute headline yake ili liuze. Wengine wakasema kwa kasi yake ataua upinzani. Wakosoaji tukasubiri mwangwi wa vigelegele utulie tuwarudishe watu kwenye mstari.

Hivi karibuni tukasikia sauti za ukosoaji zikianza kusikika, kuanzia Lugumi, utumbuaji majipu, bunge kufunikwa na blanketi la serikali, sukari nk. Watanzania wakarudi kwenye asili yao, kulalamika, kukosoa kama siyo yote hayo basi kunung'unika.

Hatuwezi kupuuza kelele za 'dikteta' hata kama zitakuwa chache, zimeanza. Magazeti yameanza kumpa kisogo mpaka wanaanza kulalamika Chadema inanunua wahariri! Siyo kweli, watanzania wanarudisha matumaini kwa chama TUMAINI lao.
 
Imani gani mkuu? Kwani ilipotea? Mfumo mbovu ndio unaofanya watawala kuchukiwa na wananchi.
 
My opinion .Mh Lowasa alifanya kosa la karne wakati wa kampeni ni kwenda kanisani KKT na kuwaambia waumini kwamba hatujawahi kupata raisi mlutheri instantly alipoteza kura nyingi sana .nchi hii ina udini na ukabila sana ila watu wanaogopa kuongea hadharani.2020 msifanye kosa kama lile kuhusisha watu wa dini na ukabila..ukombozi utapatikana
 
Sometimes it's good to comfort yourself but the bitter truth is that it will take 15 years for chadema or opposition to stabilise again and win people's hearts like it was last year.

Are you really mentally perfect?

15yrs because of the undefined and unvisioned person called Maku - fuli!!?

Stop kidding ndugu!

We are 24hrs watching and testing you for each and everything you promise and do.

Trust me, what you have just said is the opposite. The opposition is extremely florishing under this guy!

Remember, under Kikwete there were prominent people like Steven Wassira and the likes who by the help of the CCM government, invested alot of their time and money just to make sure that the opposition is totally vanished before 2014!!

What happened exactly? It back fired to them..... and the opposition, specifically CHADEMA gained momentum more than before until it became the running gate of political legends from CCM like Lowassa, Sumaye, Kigunge Ngombale Mwiru, Lawrence Masha and many more!!

We no longer have Wassira anymore....he's politically dead....he will never come back!!

That's why as the time goes on, CCM propaganda section is busy planting stupid propaganda amongst opposition supporters.......something which has proven total failure to win the hearts of these people!
 
Kwa ushauli upinzan wajipange Kwa uchaguz wa 2030 napenyewe itategemea kasi ya rais ataekua anamaliza mda wake ambae tunatalajia awe MH Kasm Majaliwa la sivo upinzan utakuwepo Kwa ajili ya kutimiza matakwa ya kikatiba.
 
My opinion .Mh Lowasa alifanya kosa la karne wakati wa kampeni ni kwenda kanisani KKT na kuwaambia waumini kwamba hatujawahi kupata raisi mlutheri instantly alipoteza kura nyingi sana .nchi hii ina udini na ukabila sana ila watu wanaogopa kuongea hadharani.2020 msifanye kosa kama lile kuhusisha watu wa dini na ukabila..ukombozi utapatikana
Acha kutoka nje ya mada! Hayo mbona yashapita na kusahaulika.
 
Baada ya Sukari,Mafuta ya Kupikia Nayo Yameanza Kwenda Juu...Yakishuka Petroli,Dizeli na Mafuta ya Taa Juu!Vikitulia Akili Itakuwa Zitakuwa Zimewakaa Watz!
 
My opinion .Mh Lowasa alifanya kosa la karne wakati wa kampeni ni kwenda kanisani KKT na kuwaambia waumini kwamba hatujawahi kupata raisi mlutheri instantly alipoteza kura nyingi sana .nchi hii ina udini na ukabila sana ila watu wanaogopa kuongea hadharani.2020 msifanye kosa kama lile kuhusisha watu wa dini na ukabila..ukombozi utapatikana

Tatizo lilikuwa tume ya uchaguzi na mfumo wa serikali unaipa nguvu ya ushindi Ccm acha kutuongopea mimi ni muumini wa dini nyingine wala hilo halikuwa tatizo.
 
Are you really mentally perfect?

15yrs because of the undefined and unvisioned person called Maku - fuli!!?

Stop kidding ndugu!

We are 24hrs watching and testing you for each and everything you promise and do.

Trust me, what you have just said is the opposite. The opposition is extremely florishing under this guy!

Remember, under Kikwete there were prominent people like Steven Wassira and the likes who by the help of the CCM government, invested alot of their time and money just to make sure that the opposition is totally vanished before 2014!!

What happened exactly? It back fired to them..... and the opposition, specifically CHADEMA gained momentum more than before until it became the running gate of political legends from CCM like Lowassa, Sumaye, Kigunge Ngombale Mwiru, Lawrence Masha and many more!!

We no longer have Wassira anymore....he's politically dead....he will never come back!!

That's why as the time goes on, CCM propaganda section is busy planting stupid propaganda amongst opposition supporters.......something which has proven total failure to win the hearts of these people!

Pure facts. Ccm are hiding in the shadows of Magufuli,they totaly lost the breath and constitutional prevelege give them support to dominate.

In real sense when we get free Electro Commision for sure Ccm will be down to hell in 2020 despite the strenght of Magufuli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom