Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Itakumbukwa miaka kadhaa nyuma Tanzania tulitengwa kiaina na jumuia ya Africa Mashariki na ukiangalia kiundani utaona kuna namna Kenya ilikuwa inahusika katika hili hasa katika kuzishawishi nchi wanachama kuharakisha baadhi ya mambo ambayo sisi Tanzania hatukuwa tayari muda huo.
Tangu JPM ameingia madarakani (Takribani miezi mitano sasa) amefanikiwa kurudisha uhusiano uliokuwa unadorora kati ya Tanzania na Uganda na sasa anaelekea kurudisha uhusiano mwingine uliokuwa umefikia pabaya kabisa kati ya Tanzania na Rwanda.
Kwa speed hii ni wazi kuwa nchi hizi sasa nanyingine ambazo JPM atazitembelea ndani ya muungano huu zitarejesha na kuimarisha fulsa za kibiashara na Tanzania. Naona ile chokochoko ya ndugu zetu kutaka kudominate kajumuia sasa itafikia ukingoni