madhabaunyeusinyeusi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 200
- 98
Wana JF,
Nomba ushauri, nilipandishwa daraja 2011 toka daraja iii nakua ii halmashauri fulani lakini baada ya kudai marekibisho ya mshahara utumishi akaniandikia barua kua nipeleke cheti cha shahada ndipo nibadilishiwe mshahara na nilipandishwa nikiwa diploma.
Hivyo nichukue hatua gani wana JF.