Tarakea high school

Tarakea high school

Bouja

Senior Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
173
Reaction score
127
Habari wakuu
Nmechaguliwa tarakea high school iliopo Kilimanjaro mchepuo wa pcm
Kwa waliosoma hapo na wanao ijua naomben uzoefu kuhusu mazingira
 
Anza kujisomea dogo.. Uzoefu utaupata uko uko
naijatwittersavages-20190530-0002.jpeg
 
Iv humu hakuna wachaga au ?? Mbna hamnisaidiii
 
Habari wakuu
Nmechaguliwa tarakea high school iliopo Kilimanjaro mchepuo wa pcm
Kwa waliosoma hapo na wanao ijua naomben uzoefu kuhusu mazingira
Iko TARAKEA WILAYA YA ROMBO, Iko mpakan na Kenya, kuna baridi sana, mazingira ni Mazur kama kawaida ya Kilimanjaro
 
kwambaa tukikwambia haifai..? utafuta uhamisho..? we jiaandae adavance hakuna shule mbaya ni wewe na juhudi zako jua tu ya kwamba shule ni kongwe kiasi chake na imeshatoa watu kibao siyo shule mpya ina Advance ni zaidi ya miaka 15 sasa.Ni mchanganyiko na pia ina o level . Binafsi nimesoma o level 2010
 
Back
Top Bottom