Tapeli wa kuogopwa hapa dar es salaam!

WADAU WOTE
:hat:
TAFADHALINI HUSIKENI NA KICHWA HUSIKA HAPO JUU
KUNA HUYU JAMAA ANAITWA SHEIKMOUN HALAHALA AL-MAARUFU KAMA HALA HABIB.
HUYU JAMAA ANAJUANA NA MIRAJI NA RIZ1 HIVYO BASI HUTUMIA MWANYA HUO KUTAPELI WATU
HAPA MJINI. KUNA DADA MMOJA ALILIZWA USD 14,000/= KUNA MWINGINE 7,000/= NA WENGI NIKIWAMO MIMI
DOLA MIA 3. ANAJIFANYA ANACONNECTION YA KITU CHOCHOTE UNACHOTAKA KUFANYA AMA KUNUNUA.
MARA ANJIFANYA ANANUNUA MAGARI JAPAN, MARA CHINA, HONKONG NK. NI KWELI ZAMANI WAKATI YUKO NJEMA
ALIKUWA ANAFANYA HAYO ANAYOYASEMA ILA KWA SASA HANA KITU NDIO KAAMUA KUWA TAPELI.
ANAKAA KAWE NA NAMBA YAKE YA SIMU NI +255689 000222.
TAHADHARI KABLA YA HATARI YASIJE KUKUKUTA MJINI HAPA.
NAWASILISHA WADAU.:spy:

Mkuu, tatizo ni kushobokea watu wenye connection na watoto wa vigogo.... kinawazuga hapo ni ule uzoba wa kusikilizia ziri au miraji

mtashaa
 
Ulistahili kutapeliwa. kwani nawe deal zako zinaonekana ni za kijanjajanja vile. kwani connection uliyokuwa unaitaka inaonyesha kuna kitu/ vitu ulikuwa unakwepa.
 
Wewe ndiye tapeli mtajwa? au una undugu naye?
Kama una uchungu lipa basi hizo pesa ambazo wadau wameshatapeliwa.
unajua watu wengine wa 0713 kama wewe unamualibia mtu jina kisa kamchukulia dem wake au dem kaliwa kwa mkopo nk issue zingine ni chuki kesho yatakukuta hata wewe unaetetea kama katapeliwa si ufala wake na kajuaje watu aliotapeli wengine mpaka kiasi cha pesa acheni utoto
 
Sikiaaa... Wajua Jamaa kaja kisiasa zaidi kwani Kuna Njia nyingi za Utaperi sasa yeye kaja na Kashfa tu ni bora angetaja Alichotaperiwa tukaelewa inawezekana pengine kataperiwa au kaadithiwa tu ndio kajaa JF Kumchafua Jamaa... Mimi sidhani kama kuna Deal la usd 300. kwa kutizama tu usd 300 ununua nini? au ni Consultation fees ya kitu fulani? sasa kama jamaa hajafanikiwa ndio mbio JF Kumsema jamaa kuwa ni Taperi tena ameshamtaperi jamaa flan usd 14,000 na mwingine kadhaa aaah! nini hii kitu

hata ze utamu ndio ilivyokuwa hivi hadi kashfa zikamuendea Mkuu wa Nchi ikafungwa Fasta... na Mod wakiachia hivi basi ujue kuna mtu atakuja Mtaja hadi Raisi kumuibia kitu na Wengi humu watamsapoti ... Ndibalema Stuka..
sehemu zote nilizoweka red ilitakiwa iwe 'tapeli'................ hapo kwenye green ilitakiwa uandike 'kahadithiwa' mkuu. Ni hayo tu.
 
sehemu zote nilizoweka red ilitakiwa iwe 'tapeli'................ hapo kwenye green ilitakiwa uandike 'kahadithiwa' mkuu. Ni hayo tu.
Asante ila changia Mada halisi. Mimi kwenye Sarufi siwezi badilika kwani kiswahili ni kigumu... nadhani umenielewa Mwanzo Mwisho nina tatizo la r na l

Na wewe Usichanganye Lugha Kiswahili na Kiingereza au Ndio Kiswaglish! Na Unapoanza kuandika Tumia Herufi Kubwa
 
pole wewe unaempa pole asietakiwa kupewa pole wala kuhurumiwa kama unalizwa kwa jina la riz 1 je freemassons si wanakumaliza kabisa loh
 
shida yenu wabongo ni kuwa mtu akijinasibu kujuana na mtu fulani anayehisiwa kuwa mkuu ndani ya kaya hii mnamshobokea sana ndiyo mana mnalizwa kiulaiiiiiiiini. Mimi nasema hivi halizwi mtu hapa.........................!
 
pole sana kwa kutapeliwa lakini kwa mimi nijuavyo siku zote matapeli huwafata watu wenye tamaa sana anakutamanisha na wewe kwa ujinga unatoa kama ni pesa au chochote kile anachokitaka na ndomaana kuna matapeli hadi wa mapenzi punguza tamaa hauta tapeliwa maisha yako yote.:eek2:
 
Back
Top Bottom