Tapeli: Manase Jackson, kuweni makini

Humu ndani kuna watu wanadandia mada kwa mbele kama hujaelewa Kaa kimya kuliko hujaelewa unababaika Huyo jamaa katahadharisha watu juu ya jamaa anayetapeli watu siyo lazima yeye atapeliwe ndiyo atahadharishe watu
 
Mbona Yule aleye anzisha mada ya Yule mama aliyechapwa viboko hamkusema nayeye amechapwa mkajadili mpaka serikali ikaingilia kati hebi eleweni Mambo kwa undani
 
Tayari mwingine huyu kashalizwa pole mkuu japo umeshaweka taadhari watu wataendelea kulizwa tu
 
Ulitaka super sport ya wizi eeeh??
Ulitaka uone Man U Bure. Bure kabisa wewe. Kashtaki kwa balozi
 
MKUU. MIMI NILIIBIWA LAKITANO NA MSHIKAJI ALIPATIKANA BAADA YA MIEZISITA NEVER GIVEUP

CHUKUA NAMBA ZAKE NENDA TIGO.. AANGALIA NAMBA ZILIZOPIGWAMAR KWAMAR ZIWEKEE MTEGO WAKIJA KOMAA NAOUNADILI NA MANASE NAMPATAJE...WANAKUONYESHA MPAKA VYUMBANI
 
NJIA NYINGINE
TAFUTA MSHIKAJI POLISI UNAENDA WANAINGIZA NAMBA KWENYE MASHINE YAO INAONYESHA SEHEMU ALIPO WAOWANANJIA YA KUMTUMIA.. NAKAMA KUNANAMBA INAJIRUDIA UNAJUA WANAMWITA HUYO MTU WAKIONA DIR INASOMA UBUNGO WANAENDA UBUNGONAHUOMTU JAMAA ANAPIGIWA NAHUYO NTU.. DK ANAJAA
 
Tunaposhare info..... Kuwa appreciative..... Tungeweza kukaa kimya wengine wangeumia zaidi....
Dah...ni sahihi. . Lakini ukweli Unabaki pale....Tamaa ya kupenda vya bure na Kutapeliwa ni ndugu[emoji13] [emoji13]
 
amekutapeli nini, au unamaana kwamba anawatapeli dstv?
 
weka basi hata picha ttumjue kwa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…