Toa habari kamili, anafanyaje?Wajumbe salaam,
Kuna mtu anaenda kwa jina la manase jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani).... Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu... Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.....
Watch out people.... Ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.....
Vyombo husika kama mpo chukueni hatua... Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu... Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.....
Toa habari kamili, anafanyaje?
Tunaposhare info..... Kuwa appreciative..... Tungeweza kukaa kimya wengine wangeumia zaidi....Mnapenda sana vya bure ndo maana mnatapeliwa
Ametangaza tangazo kupatana anafanya hizo shughuli kwamba yr ni fundi dish.Toa habari kamili, anafanyaje?
hivi mbona hukutokea pale tulipoahidiana weweMwache akitulia atatueleza kiundani, bado injini inachemka baada ya kutapeliwa....
Posho hadi leo haijatoka.....hivi mbona hukutokea pale tulipoahidiana wewe
Wapenda vya bure ndo wanaumia tu na wataendelea kuumia hata kama mtaandika vipeperushi na kuvisambaza kwa kila mtuTunaposhare info..... Kuwa appreciative..... Tungeweza kukaa kimya wengine wangeumia zaidi....
Kuzidiwa akili jambo la kawaida.... Mjin hapa.... Lakini kukaa kimya kutowajulisha wenzio huo ndo uhayawanPole sana mkuu naona watoto wa mjini wamesha kuingiza chaka!
Kupigwa nolinda kawaida sana mkuu.... Hapa si mjini.... Lakini yatupasa kutokaa kimya juu ya hili...Ukiona Manyoa Kashaliwa Kwa Post tu Inaonesha Yawezekana Jamaa Kashapigwa.
Hapa Kazi Tu.!
Cyo kila anayetapeliwa anapenda vya bure....some people believes others easily and end up getting hurt.Mnapenda sana vya bure ndo maana mnatapeliwa