Tapatalk ni nini?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,396
Reaction score
9,174
Habari natumai mu wazima ila nilikua na swali ambalo ningependa kupata ufafanuzi wa ndani

Tapatalk ni nini?

Maana naona baadhi ya member kwenye last activity yopo on Tapatalk hii sijaielewa Imekaaje kaaje.

Tapatalk inafanyaje kazi?

Huu mtandao unafanyaje kazi na kuna nini cha ziada humo?

NAWASILISHA
 
Tapatalk ni App inayokuwezesha ku access Forums mbalimbali duniani kwa wakati mmoja, haikuhitaji kuwa na App ya kila forums ukishakuwa na Tapatalk! Cha kufanya ni ku "search" forum unayoitaka na itakuja kisha utalog in moja kwa moja.

Pia Tapatalk tofauti na JF App ni kwamba hii ipo fasta zaidi kwa upande wa ku browse na hata kupokea notifications kwa wakati.


Jamani huo ndio uelewa wangu mdogo kuhusiana na Tapatalk kwa miaka karibia saba sasa nikiwa naitumia
 
wacha nii danlod hyo tapatalk maana JF app mda mwngne inakua nzto sana
 
mi niliuwa naelewa et tapatalk ni kwamba members wanazurura kwenye majukwaa mengine😀,mara kaingia jukwaa la siasa,mara mapenzi na mahusiano,mara jukwaa la uremmbo na utanashati...
 
mi niliuwa naelewa et tapatalk ni kwamba members wanazurura kwenye majukwaa mengine😀,mara kaingia jukwaa la siasa,mara mapenzi na mahusiano,mara jukwaa la uremmbo na utanashati...
🤣🤣🤣 Wazururaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…