Bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa Mungu.
Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa,tumemzika 16/01/2014.
Innalillah wainna illah rajjiun
Pole sana mkuu wangu,MUNGU wa mbinguni kwa jina la Yesu akutie nguvu.Bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa Mungu.
Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa,tumemzika 16/01/2014.
Hizi lugha za kiarabu za nini,kwani Mungu ni mwarabu,hasikii Kiswahili?Innalillah wainna illah rajjiun
bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa mungu.
Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa,tumemzika 16/01/2014.
Innalillah wainna illah rajjiun
pole....mungu awape nguvu wewe na mwenzio mpate mapacha kufidia inshaalllah....