Kifimbo Cheza
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 256
- 125
Apumzike kwa amani. Tunaomba anaejua sababua za kifo chake aandike hapa. Pole kwa wafiwa.Mkurugenzi kiwanda cha kuchambulia pamba cha s&c cha bunda bw. Donald gachuma muluga, amefariki dunia jana asubuhi huko bunda. Tumwombe mungu ampumzishe kwa amani kwenye makao yake ya milele. Ameni.
Poleni wafiwa. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
ni mdogo wake CHRISTOPHER MWITA GACHUMA wa NYANZA B.C.huyu ni ndugu wa Mwita Gachuma anayemiliki nyanza bottl co?
SOMA HAPA Mkurugenzi aanguka na kufaApumzike kwa amani. Tunaomba anaejua sababua za kifo chake aandike hapa. Pole kwa wafiwa.
Poleni wote mloguswa na msiba huu.
RIP Gachuma
heri wafu wafao katika Bwana
Pole sana dada Suzzy Shelukindo kwa kufiwa na mmeo, Mwenyezi Mungu akupe nguvu za kuwaongoza wanao. Pole Nyanza Bottling Company.