Yurayezekiel
Member
- Dec 3, 2018
- 81
- 60
Unakimbizwa nini? Toa taarifa kamili mkuregenziOCD WA wilaya ya kibindo mkoa kigoma amefaruki dunia Mungu alitoa mungu ametwaa amina ,nitamkumbuka alipo kataa kutoa ushilikiano wakati mwenykit wa halimashaur kibondo alipo kamatwa na wasio julikana na kupotezwa mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, badala ya kusikitika mimi nimecheka kwa mwandiko wakoππππ
Ucjali kukosea kawaidaMkuu, badala ya kusikitika mimi nimecheka kwa mwandiko wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chawa nkuu, uchikochee tyena!
OCD WA wilaya ya kibindo mkoa kigoma amefaruki dunia Mungu alitoa mungu ametwaa amina ,nitamkumbuka alipo kataa kutoa ushilikiano wakati mwenykit wa halimashaur kibondo alipo kamatwa na wasio julikana na kupotezwa mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona aloshazikwa tayari ndugu?OCD WA wilaya ya kibindo mkoa kigoma amefaruki dunia Mungu alitoa mungu ametwaa amina ,nitamkumbuka alipo kataa kutoa ushilikiano wakati mwenykit wa halimashaur kibondo alipo kamatwa na wasio julikana na kupotezwa mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa alitaka kuandika "kibinda nkoi"!ππππKibindo ni wilaya mpya mkoa wa kigoma au??
We kama Mimi kwanza kaandika kinoko....amefurahia kifo cha OCDMkuu, badala ya kusikitika mimi nimecheka kwa mwandiko wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]